Unawezaje kulinda pesa zako dhidi ya mfumuko wa bei?

njia ziko nyingi ila za miaka yote huwa ni kununua ardhi,dhahabu nk lakini kwa sasa ziko njia nyingi sana ikiwemo kununua stocks,bonds,kuhedge nk kwani mkuu una pesa mingi sana ama ni hivi vi 5000 vyetu
 
Wale ombaomba wote nimewapiga Ban,Wameanza kunichukia ila poa tu watanielewa huko mbeleni.
Uko kama mm.

Nmelima block vyanzo vyote vya kupoteza pesa ikiwepo list la watu wanaonidai na wanaotaka niwasaidie ilihali mambo hayako sawa..watuvumilie kwa muda kidogo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…