Unawezaje kumfanya mpenzi wako awe na Exposure?

Anafanana na WA kwangu kwa sifa zote ulizotaja,nina miaka kumi sasa, hakuna mapicha mengine madaogo ni udhaifu wa kawaida wa mwanafamu.
Ukimwacha utakuja kulia siku za usoni kwa sababu Mungu amekupa huyo wa kufanana naye
 
Usitufokee tuliosoma shule za kata.

Kumbuka Exposure itakuja full package, uko tayari kuendelea nae atakapobadilika kulingana na hivyo viambata vya exposure?

Kama unaona hauwezi kuendana nae, usijilazimishe kumfanya awe kitu ambacho sio yeye. Utamfanya awe anaishi maisha ya kuigiza.
 
Anafanana na WA kwangu kwa sifa zote ulizotaja,nina miaka kumi sasa, hakuna mapicha mengine madaogo ni udhaifu wa kawaida wa mwanafamu.
Ukimwacha utakuja kulia siku za usoni kwa sababu Mungu amekupa huyo wa kufanana naye
Aiseee basi tupo wengi mkuu .Umenipa elimu hapa.
 
Anafanana na WA kwangu kwa sifa zote ulizotaja,nina miaka kumi sasa, hakuna mapicha mengine madaogo ni udhaifu wa kawaida wa mwanafamu.
Ukimwacha utakuja kulia siku za usoni kwa sababu Mungu amekupa huyo wa kufanana naye
Eti anataka huyo manzi ake awe na exposure [emoji23][emoji23] mwache akomae siku moja demu ataanza kuliwa tigo huko nje ikiwa ni moja ya vitu alivyotaka kujifunza.
 
Wewe ni mshamba sana usikatae, sijaona hata kasoro moja hapo ya kutaka kumuacha huyo dada. Kijana em usikaze FUVU hakuna mwanamke unaeweza kumpata amekamilika kila kitu kwanini mkiambiwa kila siku huwa hamuelewi hili lakini?!
Aisee sawa mkuu , Ngoja nilegeze fuvu
 
Eti anataka huyo manzi ake awe na exposure [emoji23][emoji23] mwache akomae siku moja demu ataanza kuliwa tigo huko nje ikiwa ni moja ya vitu alivyotaka kujifunza.
Kwa hiyo Exposure unayejua ni kuliwa tigo? Aiseeee pttuuuuuh ...Guys naongea Academic exposure
 
we jamaa huwajui hao viumbe
narudia tena huwajui hao viumbe
[emoji117]nakaza maneno yangu kuwa wew huwajui hao viumbe

simba akinyeshewa mvua anavyojikunyata ukimuona usije zani ni paka, subiri ajifurukute uone makucha yake...

soon utarudi humu unalia lia kuomba msaada&ushauri

kamwe usmfanye mwanamke awe kama wew, heshima yake ni kuwa mwanamke na mlezi wa familia Full stop, hayo mengine ufanyayo nikuwa unajichimbia shimo refu ambalo hapo baadae utastahajabu unaiingia ndani ya shimo lako na huyo unaempigia vigere gere akikufukia kwa dhihaka[emoji41][emoji41][emoji41]

ina huzunisha sana.....
 
ni mvivu wa kujifunza vitu . Hata vipindi vya TV yeye ni muziki na movie tu , Hataki hata kuangalia vipindi akajifunza kitu.
Wengi wao (karibu wore) wapo hivyo hivyo!
Kama co kicheche ao tu
 
Kiufupi unataka mpenzi wako awe mjuaji kama wewe sio?
Tulia hatuwezi fanana,yeye ndio yupo hivyo na wewe ndio upo hivyo
Yeye hawezi kuwa ww
 
Watu wote hatuwezi kufanana, kila mtu ana interest zake sasa unapotaka huyo awe kama wewe hapo ndipo unapofeli blaza.

Seems like hujui unachokitaka kwa huyo mwanamke, au una wanawake wengine nje so ukifanya comparison unaona kama huyo ni mshamba but jua ndoa ni zaidi ya hizo exposure unazoforce huyo mtu wako awe nazo.
 
Huyo atakushinda find ur type hafu akiwa mama nani atawasaidia watoto homework, I'm telling you ukilaza wa mtu ukizidi ni rahisi kumchoka
Yaani hapo ndo haswaa , Mpaka natamani nimpeleke Shule LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…