Unawezaje kumfanya mpenzi wako awe na Exposure?

Unawezaje kumfanya mpenzi wako awe na Exposure?

Nimekuelewa sana mkuu "concern" yako

Unataka mtu wa hadhi yako.. asiyenyuma kwenye masuala "mtambuka" anayeenda na ulimwengu wa habari, sayansi na teke linalokujia.. VEMA ni mhimu binafsi ninaye wa hivyo, tofauti tu ni kuwa wangu yuko tayari kupata maarifa mapya, anapenda kujifunza.

Jaribu kwenda naye pole, dili naye kwa kitu kimoja kimoja, mwisho wa siku ataenda sawa nawe. Tahadhari tu usioneshe kumdharau kwa kutojua vitu/mambo.. fanya kiurafiki zaidi ukimueleza umuhimu wa kuvifahamu.
 
Mtoa maada atakuwa huwa anamuuliza babe wake, What is Biology.
 
Kama ni exposure ya kujua Rais wa Rwanda ameingia madarakani lini, Iran ina vinu vingapi vya nuklia nk hayo ni hayamfanyi kutokuwa mama bora wa familia yako.

Omba Mungu awe na IQ kubwa ambayo bahati mbaya haikupata mazingira ya kuibua na kuonesha kipaji chake.
IQ yake atairithisha kwa watoto, IQ hiyo itamsaidia kuwalea watoto kwa njia bora. Itamfanya kutambua wageni ni baraka kwa familia

Mengine atajifunza kutoka kwako. Kwa sababu unaamini kuwa na exposure kuliko yeye atajivunia mumewe kuwa mwalimu wake bora.
 
Kuwa na mwanamke mwenye very low exposure inakera somehow ..lakini km mwanamke huyo huyo anasifa zingine zinazombeba km ,heshima, asiye na tamaa ,mwaminifu na mchapa kazi huyo anafaa kuoa,

DUNIA ya sasa inaenda kasi sana ,technologia inazid kukua ,pengine unahofia watoto wako watakua na Mama wa namna gan lakini trust me , ukipata mwanamke mwenye sifa za mke regardless elimu yake .Oa.

Watoto wa siku hz wanapaswa kufundishwa ujasiriamalia na biashara tangu wakiwa wadogo ,au kuwekeza katika vipaji vyao ,na sio ku focus na ma homework ya shule najua unahofia huyo mwanamke ataweza hata kufuatilia homework za watoto?
 
Ubinadamu ni kazi aseee, akipata mcharuko kero, akipata aliepoa shida, kuna yule mwenye mwanamke anaehitaji attention ni shida, kuna yule mke hampigii simu nae tabu....hatuelewekagi tunahitaji nini
Ni kazi si ndogo, tatizo kuna watu wanajiona wako perfect kisa wana status flani af kumbe ni kawaida sana
 
Njoo umalizie kwetu wadada wa mjini degree, exposure, na zaidi ya hayo utapata....sisi ni full package unapatikana wapi hapa mjini?
Mkuu mimi mtoto wa mjini haswaa . Hao wa dada wa mjini hwanistui hawanishtui 😂😊
 
Back
Top Bottom