Unawezaje kumfanya mpenzi wako awe na Exposure?

Unawezaje kumfanya mpenzi wako awe na Exposure?

Ndege wanaofanana huruka pamoja. mpaka upo naye ujue mshaendana kila kitu we unamuona hana exposure ssa kama wwe hiyo exposure unayo itumie kwa manufaa yenu wote wawili ila ukitaka yeye awe na exposure ujue yatakuja mabadiliko makubwa ndani ya familia namaanisha lazma mabadiliko usiyo yatarajia utakutana nayo
 
Elezea exposure kama ipi? Mwanamke akijua yale yaliyo kwenye majukumu yake tuu anatosha, mengine yanakuwa extra tuu.
Au unataka mpaka akupangie kikosi cha Man U na Simba?
 
Never ever take a woman for granted.......their naturally so bright and intelligent, wewe ndo mshamba pamoja na ka degree kako, huwajui hao viumbe
So wanaume ndio hawapo intelligent naturally?! Hivi wewe ni mzima wewe, unajua historical details and information juu ya civilization ?! Hebu muwe mnasoma vitabu kabla ya kuropoka ropoka hayo maneno ya kuudhi ili kuwafurahisha nafsi wanawake na mnajua kuwa mnawachota akili.
 
Ile sharp mind ya kawaida ,yaani huyu hata ukikaa nayeukidiscuss hoja shuleini kasahau kila kitu
Kwan ulikuwa unataka kufungua shule mkeo aisimamie?! Kuchokonoa mchokonoe pweza binadamu hautamuweza. Naona unaanza mtafuta ubaya wake kwasababu tu amekuonyesha mazuri.
 
Poleee sana dada yangu , Huyu mwenzako nampenda ila ni mvivu wa kujifunza vitu . Hata vipindi vya TV yeye ni muziki na movie tu , Hataki hata kuangalia vipindi akajifunza kitu.
Unajua unapotaka kitu ni lazima ujiulize unatafuta matokeo gani. Hadi sasa nimeshindwa kuestablish unachotafuta kwa huyo mwanamke yaani unataka aweje ili iweje?!
 
Chagua moja wife material au mwana siasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ile sharp mind ya kawaida ,yaani huyu hata ukikaa nayeukidiscuss hoja shuleini kasahau kila kitu
Sasa mkuu mnadiskasi mambo ya shule nyie wanafunzi?! Embu muoe mwanamke mwenzetu usimtafutie sababu bwana wee..
 
Unajua unapotaka kitu ni lazima ujiulize unatafuta matokeo gani. Hadi sasa nimeshindwa kuestablish unachotafuta kwa huyo mwanamke yaani unataka aweje ili iweje?!
Nataka mwanamke anayeweza kuja kushape watoto , I mean watoto wanaweza kuja kuathirika na hii low thinking yake
 
Back
Top Bottom