Mzee23
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 1,731
- 3,628
Nimekuelewa sana mkuu "concern" yako
Unataka mtu wa hadhi yako.. asiyenyuma kwenye masuala "mtambuka" anayeenda na ulimwengu wa habari, sayansi na teke linalokujia.. VEMA ni mhimu binafsi ninaye wa hivyo, tofauti tu ni kuwa wangu yuko tayari kupata maarifa mapya, anapenda kujifunza.
Jaribu kwenda naye pole, dili naye kwa kitu kimoja kimoja, mwisho wa siku ataenda sawa nawe. Tahadhari tu usioneshe kumdharau kwa kutojua vitu/mambo.. fanya kiurafiki zaidi ukimueleza umuhimu wa kuvifahamu.