NakaziaMathew 18:21 Kisha Petro akaja kwa Yesu akamwuliza, “Bwana, ndugu yangu anikosee mara ngapi nami niendelee kumsamehe? Hata mara saba?” 22 Yesu akamjibu, “Sikuambii mara saba, bali saba mara sabini.”
Hapana sehem unayo kaa na mke si vizuri kupeleka mchepuko ...yaan gest zote hizi mpaka unajipa ujinga wa kumpeleka kwenye kitanda cha mkeoNi nature ya mwanaume we ndo mama lao relax endelea na ndoa yako
Hiyo haitakaa ikutoke kichwani maana ni bora angefanya huko mbali ila alikudhalau mpaka akamua kuleta mchepuko ndani.Mm na kufanya ujinga wangu sio siri naheshimu sana tunapolala na mke wangu ama makaziYani Najikuta nakosa raha kabisa. .hata sina hisia nae kabisa sikuhizi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu njoo kwenye chama letu la kutotuma na ya kutolea chaputa ....mwenyekiti bado anasajili.Pole sana, msamehe endelea na maisha kupata mwanamme ambayebm hacheat ni ngumu sana sasa hivi, tumebaki 9 hapa Tz lakin namie naenda kushindwa sio muda hivyo watabaki 8[emoji25]
Mkuu me ni me mzee!Hii nilikua najuaga ya demu kumbe broo
Cha muhimu we njoo pm nikushauri kitu kizuri cha kufanya uweze kumsamehe jamaa na upuuzi wake!Unajua nini kaka,, kwako ni kwako tu. Niliporudi the same day niliona mabadiliko hapo nyumbani ambayo yalinipita wasiwasi mkubwa! Yani kulikua na vitu tofauti na nilivyoviacha mimi pia katika kufanya usafi mara nikute cheni . Kuna vyombo vyangu vingine nilikua sivioni. Nguo yangu fulani hivi ( kikoi) pia sikuvikuta sasa kumuuliza hanyooshi maelezo dah..
Huwezi kuamini ndio maana mnaambiwa msipekuane! Mwana kulifind mwana kuli getDeep down Anaonesha kuregret sema mimi ndo inakua ngumu kumuamini tena. !!
Me nataka kujua hali ya mawasiliano na mme wako huwa ikoje kabla ya hili tatizo? Nimekwambia njoo PM ila naona kama unachelewa!Kazi Ndugu.. nilienda kufanya kazi kuongeza pato!!
LikelyMe nataka kujua hali ya mawasiliano na mme wako huwa ikoje kabla ya hili tatizo? Nimekwambia njoo PM ila naona kama unachelewa!
How have you guys been interacting hapo ndani before the incidence!? Unajua kuna wakati huwa wanawake mnakosea sana halafu mna expect kwamba mwanaume ni mbuzi tu ata swallow your bullshit! Baadhi yetu hatunaga huo ujinga at all!
Jamaa unaweza kuwa ulikuwa ukimfanyia drama na kujikuta we ndio wewe with flirting around na watu wengine na kumletea dharau huku ukim deny sex na kujifanya uko busy na kazi daily unamtoa mswaki akitaka tunda mpaka mkabane kabane! Hilo halipendezi kwa mwanaume na kama atakuvumilia ni kwa muda tu.
Aidha jamaa alishakususpect unamchiti ila uka capitalize kwenye ile kauli ya “huyo wala sina mpango nae”...”Tatizo lako hujiamini wewe”...Yamkini amehangaika sana na kujaribu kukwambia tabia hio inamkera ukawa unaona raha anavyolalamika mwisho ameona bora nawewe akunyooshe tu. Very likely!
Hebu kuwa honest useme tu huwa unam treat vipi! Kuna wanawake kazi kwenu ndio mume ukifika home mume unamuona kidampa tu!
Habari ndugu, kwanza nikupe pole na pongezi maana kama mpaka sasa hivi bado uko ndani ya ndoa basi huo mtihani umeshaushinda kaa tulia.Asante Nimepata kitu hapa! Shukrani
Poa poa basi kuna demu anatumia saint Anne yumo humuMkuu me ni me mzee!
Kuna uwezekano alidanganywa bwana hajaoa, au kaachana na mkewe. Nyie watu nyie[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]"Aliponiona alishtuka!"
Kuna uwezekano mumeo kashampiga chini, otherwise asingekuja wakati upo...
Kuna uwezekano pia, alishakuwa huru sana na mumeo na sasa ametaka kuwa huru na hapo kwenu...
Pia kuna uwezekano kwa akili zenu wadada/wanawake, alikuja makusudi ili tu umuone, ujue huyo ndio bi mdogo [emoji26]
Again, tafuta kujua kwa nini mumeo ameleta mbususu ya kando home kwenu...
Kwahio jamaa kambato jirani kabisa hapo😅 hapa nimeelewa kwanini jamaa alifanya importation of goods😅!Evidence zinatosha kabisa nyingine sijazisema tu na mbaya zaidi siku nimefika tu huyo mwanamke siku kama ya 3 alikuja Akanikuta nje ya nyumba napika huku nimevaa shati la bwanaetu niseme . Aliponiona alishtuka sana kaniangaliaaaaa hajasema kitu akaondoka .
Hii code tamu sana kwa kulia kimasihara😅Kuna uwezekano alidanganywa bwana hajaoa, au kaachana na mkewe. Nyie watu nyie[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Refer to: Importation of goods Act.Amekubalije kizembe hivyo?
Kweli kafanya Jambo la kijinga Sana..pamoja na ujinga wetu wanaume lakini binafsi siwezi kufikika kiwango hiki Cha upuuzi.Kuna baadhi yetu wanaume ni wapumbavu sana,unapelekaje malaya nyumbani?kabisa unakoishi na mke na watoto unaokota mwanamke unaenda kulala nae humo?na anadhihirisha upumbavu wake kwa kukiri kufanya hayo!
Ni pombe au kitu gani!!!
Jamaa kafanya undezi hapo mjuba nisingefanya makosa hata jini angesingiziwa😅Alipokesea ni hapo kwenye kukiri na kuomba msamaha. Bora angekataa tuu. Wanawake tunapenda kudanganywa