Unawezaje kumsamehe mwanaume aliyekusaliti kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi?

Unawezaje kumsamehe mwanaume aliyekusaliti kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi?

Ana miaka mingapi huyo mmeo? Ndoa za vijana tabu Sana! How can a strong man confess to a woman? Kafanya kosa kubwa sana,katka mapenzi uongo ndo hufanya ndoa zidumu,haikuwa na maana ya kukiri,hata Kama ungekuta used condoms ndani bado alikuwa na nafasi ya kukupa majibu na wewe ukaridhika,hakika amejeruhi moyo wako kwa upuuzi wake ,ukweli unauma Sana,by the way huyo ndo mmeo,uamzi Ni wako eidja kusamehe na mambo yasonge au kukatisha mahusiano!!

Binafsi siwezi samehe mke wangu nikimfuma live bila chenga akichiti,hiyo ndo tiketi ya kuvunja ndoa .

Mathayo 5:32

Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini; na mwanamume akimwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.

Hivyo mzinzi hapaswi kupewa msamaha kamwe
 
He did a kindergarten mistake to confess,, HUYO jamaa UKIMSAMEHE KESHO ATARUDIA TENA AKIAMINI MSAMAHA UPO
 
Ana miaka mingapi huyo mmeo? Ndoa za vijana tabu Sana! How can a strong man confess to a woman? Kafanya kosa kubwa sana,katka mapenzi uongo ndo hufanya ndoa zidumu,haikuwa na maana ya kukiri,hata Kama ungekuta used condoms ndani bado alikuwa na nafasi ya kukupa majibu na wewe ukaridhika,hakika amejeruhi moyo wako kwa upuuzi wake ,ukweli unauma Sana,by the way huyo ndo mmeo,uamzi Ni wako eidja kusamehe na mambo yasonge au kukatisha mahusiano!!

Binafsi siwezi samehe mke wangu nikimfuma live bila chenga akichiti,hiyo ndo tiketi ya kuvunja ndoa .

Mathayo 5:32

Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini; na mwanamume akimwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.

Hivyo mzinzi hapaswi kupewa msamaha kamwe
Wapo strong men who confess to their women. Yani unaona hii ni nyekundu unataka useme ni blue kisa tu mwanamke hapaswi kuambiwa ukweli??

Mimi napenda mtu mkweli i can adjust and heal overtime. Kuliko mzushi na unaona kabisa hapa napigwa kamba na wewe unakubali tu hizo kamba.
 
Kwenye mapenz ni Mara mia ubaki 50 / 50 utawahi kupona kuliko kua sure 100% kwa kukuri kwa mwanaume
 
Jamaa ako kakosea sana kukiri kosa.

Wanawake mnatabia ya visasi, hata unikute mapajani Lazima nikatae Sio Mimi.
 
Pole sana, msamehe endelea na maisha kupata mwanamme ambayebm hacheat ni ngumu sana sasa hivi, tumebaki 9 hapa Tz lakin namie naenda kushindwa sio muda hivyo watabaki 8[emoji25]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ushauri m bovu kumbuka hiyo mi mume wake wa ndoa
Ushauri mbovu uko wapi hapo?

Ni mume wake wa ndoa kamsaliti,kama anahudumia familia vizuri usaliti wa mara moja hauwezi kuwa kigezo cha kutengana!

Kama anampenda na moyo wake utakuwa na amani kuendelea nae,kwanini amuache?amsamehe maisha yaendelee

Lakini kama ni fala fala tu haeleweki,uzinzi yeye,ulevi yeye hajali familia, huyo ni wa kazi gani?
 
Habari za weekend wanajamvi!

Unawezaje kusamehe kirahisi mwanaume aliyecheat tena kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi!! ???!!!

Ni mumeo wa ndoa na mna watoto. Katika harakati za kutafuta pesa ulisafiri kwa muda fulani ndipo alipotumia mwanya huo kufanya aliyofanya.

Uliporudi ukakutana nahizo habari! Na badae mwenyewe kukiri kabisa kufanya kitendo hiko eti hatarudia tena! Inauma sana. Kama wewe utafanyeje hapo!!?? Binafsi sijui hata nifanye nini tangu atubu sijamjibu chochote nipo kimyaa ila naumia sanaaaa!

Samehe saba mara sabini shemeji!
 
Deep down Anaonesha kuregret sema mimi ndo inakua ngumu kumuamini tena. !!
Sikia we mdada pamja na kuumizwa acha kudeka sasa,kuna baadhi yetu hata tukutwe kifuani huwa tunakataa,KATAA MPAKA JINA LAKO MWENYEWE!We jamaa yako kakiri kaomba na msamaha, we ndo mama la mama,mama mjengo,mtu anajuta kakuumiza bado unamtilia mashaka?
Endelea kusema huna hisia nae na mnyime mzigo kabisa uone kama yeye hisia zake zitaendelea kua constant kwako wakati tayari ana mtu nje(hata kama hampendi).
Jirudi,lia weeee then anza pocess ya kujiponya mwenyewe kwanza,yeye wala sio big deal kwa sasa.
 
Amina Mungu aniondolee haya mawazo mawazo!!
Ukiamua wakati una hasira unaweza kufikia maamuzi ya kumuacha hlafu baadae mkarudiana wakati ye ana mtu mwingine we ndo ukawa mchepuko sasa...jiangalie dada angu
 
Kuna baadhi yetu wanaume ni wapumbavu sana,unapelekaje malaya nyumbani?kabisa unakoishi na mke na watoto unaokota mwanamke unaenda kulala nae humo?na anadhihirisha upumbavu wake kwa kukiri kufanya hayo!

Ni pombe au kitu gani!!!
Kwanini wanafikia hatua ya kufanya hivyo?
 
Back
Top Bottom