digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Ana miaka mingapi huyo mmeo? Ndoa za vijana tabu Sana! How can a strong man confess to a woman? Kafanya kosa kubwa sana,katka mapenzi uongo ndo hufanya ndoa zidumu,haikuwa na maana ya kukiri,hata Kama ungekuta used condoms ndani bado alikuwa na nafasi ya kukupa majibu na wewe ukaridhika,hakika amejeruhi moyo wako kwa upuuzi wake ,ukweli unauma Sana,by the way huyo ndo mmeo,uamzi Ni wako eidja kusamehe na mambo yasonge au kukatisha mahusiano!!
Binafsi siwezi samehe mke wangu nikimfuma live bila chenga akichiti,hiyo ndo tiketi ya kuvunja ndoa .
Mathayo 5:32
Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini; na mwanamume akimwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.
Hivyo mzinzi hapaswi kupewa msamaha kamwe