Unawezaje kumsamehe mwanaume aliyekusaliti kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi?

Dunia ina mengi wallah! Hii issue ilimtokeaga jirani yangu siku alikuwa ananihadidhia nilicheka hadi mbavu ziliniuma.
 
Sina hakika kama uyo jamaa ni mwanaume.

Mwanaume wa kweli hawezi kufanya alichofanya jamaa, Hawezi kuokota malaya akampeleka kulala kitanda anacholala mkewe.

Mwanaume wa kweli hawezi kukiri ukweli Hata kama anajua mkewe ameshagundua, kihisia unapokiri ukweli mbele ya Mwanamke wako Kule kukiri kwako kutamtesa Sana, hisia zake juu Yako zitapungua Sana.

Jamaa alikosea Sana kukiri kuchepuka makosa kama haya hufanywa na vijana sio mwanaume aliyekamilika.
Hakika umenena kweli mkuu!

Mwanaume anayejitambua hawezi kufanya makosa mawili makubwa kama haya tena kwa wakati mmoja,kwanza kumsaliti mkewe kwenye chumba chao cha faragha pili kukiri udhaifu huo mbele ya mkewe.

Na ashukuru angalao amepata mke anaeweza kukaa chini na kuchambua pamoja na kujipa wakati wa kutafakari hatma ingekuwa mwengine saizi wanagawana mali na watoto,inafaa tuwaheshimu na kujali hisia za wake zetu kwa kadiri wanavyoishi na sisi haijalishi ni uhuru kiasi gani wanatupa,maana wapo wanaume wakiona wake zao hawawafuatilii sana hii inakuwa chance ya wao kufanya uharamia.
 
Unajua nini kaka,, kwako ni kwako tu. Niliporudi the same day niliona mabadiliko hapo nyumbani ambayo yalinipita wasiwasi mkubwa! Yani kulikua na vitu tofauti na nilivyoviacha mimi pia katika kufanya usafi mara nikute cheni . Kuna vyombo vyangu vingine nilikua sivioni. Nguo yangu fulani hivi ( kikoi) pia sikuvikuta sasa kumuuliza hanyooshi maelezo dah..
Anyway mda utatibu yote cha msingi msiachane basi
 
Habari za weekend wanajamvi!

Unawezaje kusamehe kirahisi mwanaume aliyecheat tena kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi!! ???!!!

Ni mumeo wa ndoa na mna watoto. Katika harakati za kutafuta pesa ulisafiri kwa muda fulani ndipo alipotumia mwanya huo kufanya aliyofanya.

Uliporudi ukakutana nahizo habari! Na badae mwenyewe kukiri kabisa kufanya kitendo hiko eti hatarudia tena! Inauma sana. Kama wewe utafanyeje hapo!!?? Binafsi sijui hata nifanye nini tangu atubu sijamjibu chochote nipo kimyaa ila naumia sanaaaa!
View attachment 2024934
Kwa wewe na vile ulivyojieleza hapo mwishoni nakushauri msamehe na mwendelee na maisha.
 
Kuna baadhi yetu wanaume ni wapumbavu sana,unapelekaje malaya nyumbani?kabisa unakoishi na mke na watoto unaokota mwanamke unaenda kulala nae humo?na anadhihirisha upumbavu wake kwa kukiri kufanya hayo!

Ni pombe au kitu gani!!!
Hata kwa kificho nao ni upumbavu tu.
 
Habari za weekend wanajamvi!

Unawezaje kusamehe kirahisi mwanaume aliyecheat tena kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi!! ???!!!

Ni mumeo wa ndoa na mna watoto. Katika harakati za kutafuta pesa ulisafiri kwa muda fulani ndipo alipotumia mwanya huo kufanya aliyofanya.

Uliporudi ukakutana nahizo habari! Na badae mwenyewe kukiri kabisa kufanya kitendo hiko eti hatarudia tena! Inauma sana. Kama wewe utafanyeje hapo!!?? Binafsi sijui hata nifanye nini tangu atubu sijamjibu chochote nipo kimyaa ila naumia sanaaaa!
View attachment 2024934

Habari za weekend wanajamvi!

Unawezaje kusamehe kirahisi mwanaume aliyecheat tena kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi!! ???!!!

Ni mumeo wa ndoa na mna watoto. Katika harakati za kutafuta pesa ulisafiri kwa muda fulani ndipo alipotumia mwanya huo kufanya aliyofanya.

Uliporudi ukakutana nahizo habari! Na badae mwenyewe kukiri kabisa kufanya kitendo hiko eti hatarudia tena! Inauma sana. Kama wewe utafanyeje hapo!!?? Binafsi sijui hata nifanye nini tangu atubu sijamjibu chochote nipo kimyaa ila naumia sanaaaa!
View attachment 2024934
Mimi pia nimepewa habari huyu mwanaume kafanya huu ujinga wala hata simuulizi nishalia nimetulia hivi nitakaporudi sasa nitakua namchora tu,,ajichanganye sasa ndipo moto utawaka.Haya mambo ya ndoa wakati mwingine sio ningekua kabinti nishatafuta tulizo la moyo hapa ka roho changu kangekua cheupeeeeee
 
Huo ujinga kauanza ndoani au kabla?
 
Siwezi kulizungumzia hili hata ndoani ndo mara ya kwanza kuambiwa hivi huenda alikua anafanya lakini sikuwahi kusikia
Kama hajaikabidhi nafsi yake kwa Yesu ili afungiwe "speed governor" wala usimuwashie moto muache tu maana lazima atarudia tena vinginevyo ukimuwashia moto jiandae kumuwashia moto siku nyingine tena.
 
Afadhali nisingeolewa natafuta hela huku nastress za mume hata 30 sijafikisha.sidhani kama tutafika tunakoenda
 
Ndio wote tuko hivyo huyo amezingua kukamatwa na kumleta nyumbani huwa tunafanya kwa siri hamjui sababu twawapenda na kuwaheshimu

Ndio maana ukiolewa we ni mama la mama
 
Back
Top Bottom