hillongajonas
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 201
- 441
Dunia ina mengi wallah! Hii issue ilimtokeaga jirani yangu siku alikuwa ananihadidhia nilicheka hadi mbavu ziliniuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika umenena kweli mkuu!Sina hakika kama uyo jamaa ni mwanaume.
Mwanaume wa kweli hawezi kufanya alichofanya jamaa, Hawezi kuokota malaya akampeleka kulala kitanda anacholala mkewe.
Mwanaume wa kweli hawezi kukiri ukweli Hata kama anajua mkewe ameshagundua, kihisia unapokiri ukweli mbele ya Mwanamke wako Kule kukiri kwako kutamtesa Sana, hisia zake juu Yako zitapungua Sana.
Jamaa alikosea Sana kukiri kuchepuka makosa kama haya hufanywa na vijana sio mwanaume aliyekamilika.
Msamehe tu maisha yaendelee ngoja nikufuate pm nikushauri Jambo.Najitahidi sana kuepuka kumcheat namungu anitie nguvu Kwani sitaki kulipiza kisasi kabisa! Nampenda na kumkubali sana ila Imani Imani imepotea Lee
Anyway mda utatibu yote cha msingi msiachane basiUnajua nini kaka,, kwako ni kwako tu. Niliporudi the same day niliona mabadiliko hapo nyumbani ambayo yalinipita wasiwasi mkubwa! Yani kulikua na vitu tofauti na nilivyoviacha mimi pia katika kufanya usafi mara nikute cheni . Kuna vyombo vyangu vingine nilikua sivioni. Nguo yangu fulani hivi ( kikoi) pia sikuvikuta sasa kumuuliza hanyooshi maelezo dah..
Kunywa maji mengi hisia zitarudi,ikishindikana kunywa viagraYani Najikuta nakosa raha kabisa. .hata sina hisia nae kabisa sikuhizi
Mimi wa 10[emoji16]Pole sana, msamehe endelea na maisha kupata mwanamme ambayebm hacheat ni ngumu sana sasa hivi, tumebaki 9 hapa Tz lakin namie naenda kushindwa sio muda hivyo watabaki 8[emoji25]
Mimi hata unikute nae nakataa yani nakataa simjui[emoji16]Alipokesea ni hapo kwenye kukiri na kuomba msamaha. Bora angekataa tuu. Wanawake tunapenda kudanganywa
Kwa wewe na vile ulivyojieleza hapo mwishoni nakushauri msamehe na mwendelee na maisha.Habari za weekend wanajamvi!
Unawezaje kusamehe kirahisi mwanaume aliyecheat tena kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi!! ???!!!
Ni mumeo wa ndoa na mna watoto. Katika harakati za kutafuta pesa ulisafiri kwa muda fulani ndipo alipotumia mwanya huo kufanya aliyofanya.
Uliporudi ukakutana nahizo habari! Na badae mwenyewe kukiri kabisa kufanya kitendo hiko eti hatarudia tena! Inauma sana. Kama wewe utafanyeje hapo!!?? Binafsi sijui hata nifanye nini tangu atubu sijamjibu chochote nipo kimyaa ila naumia sanaaaa!
View attachment 2024934
Umegundua kwamba Yesu ni Super Intelligent?Yani Najikuta nakosa raha kabisa. .hata sina hisia nae kabisa sikuhizi
Hata kwa kificho nao ni upumbavu tu.Kuna baadhi yetu wanaume ni wapumbavu sana,unapelekaje malaya nyumbani?kabisa unakoishi na mke na watoto unaokota mwanamke unaenda kulala nae humo?na anadhihirisha upumbavu wake kwa kukiri kufanya hayo!
Ni pombe au kitu gani!!!
Habari za weekend wanajamvi!
Unawezaje kusamehe kirahisi mwanaume aliyecheat tena kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi!! ???!!!
Ni mumeo wa ndoa na mna watoto. Katika harakati za kutafuta pesa ulisafiri kwa muda fulani ndipo alipotumia mwanya huo kufanya aliyofanya.
Uliporudi ukakutana nahizo habari! Na badae mwenyewe kukiri kabisa kufanya kitendo hiko eti hatarudia tena! Inauma sana. Kama wewe utafanyeje hapo!!?? Binafsi sijui hata nifanye nini tangu atubu sijamjibu chochote nipo kimyaa ila naumia sanaaaa!
View attachment 2024934
Mimi pia nimepewa habari huyu mwanaume kafanya huu ujinga wala hata simuulizi nishalia nimetulia hivi nitakaporudi sasa nitakua namchora tu,,ajichanganye sasa ndipo moto utawaka.Haya mambo ya ndoa wakati mwingine sio ningekua kabinti nishatafuta tulizo la moyo hapa ka roho changu kangekua cheupeeeeeeHabari za weekend wanajamvi!
Unawezaje kusamehe kirahisi mwanaume aliyecheat tena kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi!! ???!!!
Ni mumeo wa ndoa na mna watoto. Katika harakati za kutafuta pesa ulisafiri kwa muda fulani ndipo alipotumia mwanya huo kufanya aliyofanya.
Uliporudi ukakutana nahizo habari! Na badae mwenyewe kukiri kabisa kufanya kitendo hiko eti hatarudia tena! Inauma sana. Kama wewe utafanyeje hapo!!?? Binafsi sijui hata nifanye nini tangu atubu sijamjibu chochote nipo kimyaa ila naumia sanaaaa!
View attachment 2024934
Huo ujinga kauanza ndoani au kabla?Mimi pia nimepewa habari huyu mwanaume kafanya huu ujinga wala hata simuulizi nishalia nimetulia hivi nitakaporudi sasa nitakua namchora tu,,ajichanganye sasa ndipo moto utawaka.Haya mambo ya ndoa wakati mwingine sio ningekua kabinti nishatafuta tulizo la moyo hapa ka roho changu kangekua cheupeeeeee
Siwezi kulizungumzia hili hata ndoani ndo mara ya kwanza kuambiwa hivi huenda alikua anafanya lakini sikuwahi kusikiaHuo ujinga kauanza ndoani au kabla?
Kama hajaikabidhi nafsi yake kwa Yesu ili afungiwe "speed governor" wala usimuwashie moto muache tu maana lazima atarudia tena vinginevyo ukimuwashia moto jiandae kumuwashia moto siku nyingine tena.Siwezi kulizungumzia hili hata ndoani ndo mara ya kwanza kuambiwa hivi huenda alikua anafanya lakini sikuwahi kusikia
Afadhali nisingeolewa natafuta hela huku nastress za mume hata 30 sijafikisha.sidhani kama tutafika tunakoendaKama hajaikabidhi nafsi yake kwa Yesu ili afungiwe "speed governor" wala usimuwashie moto muache tu maana lazima atarudia tena vinginevyo ukimuwashia moto jiandae kumuwashia moto siku nyingine tena.
Pole sana. Kwa wanaume tulivyo bila kufungiwa speed governor ni ngumu kutulizanaAfadhali nisingeolewa natafuta hela huku nastress za mume hata 30 sijafikisha.sidhani kama tutafika tunakoenda