Unawezaje kumsamehe mwanaume aliyekusaliti kwa kumleta mwanamke mwingine nyumbani mnakoishi?

Good act hapo ilikua ni kukataa kata kata mkuu...Hata kama alionekana akiingiza dem na picha ziwepo za ushahidi bado angesema hawakufanya kitu.
Jamaa ni ndezi, mie hata nimpendeje mke siwezi kubali kosa la kizembe
 
Ndoivo Naomba mungu anisaidie tu hiki kipindi kipite nisahau kabisa nirudi kuwa kawaida!
Kuwa kawaida mara nyingi ni hadi nawewe uliwe nje. Otherwise inatesaga wengi hio hali ya dead butterflies!!!
 
Mimi hata unikute nae nakataa yani nakataa simjui[emoji16]
Nishamkataa demu live mgahawani kipindi hiko yani😅 nikambatiza kuwa ni mdogo wake na best yangu mmoja bibie alikuwa hamjui😅 siku wanakuja kukutana na huyo ndugu yake na best yangu wa kweli kweli nikawaunganisha wakaelewana kichizi.Eti mbona kama sio yule nikamwambia kipindi kile alisuka now amekata nywele ziko rough punk!😅

Haya mambo si ya wavulana😅 jamani. For real dawgs!!!
 
Msamehe..wengi wetu tumesamehewa..wanaume wana-kashida hako.. lakini ukiwa mtulivu (yaani usimgombeze Sana) atajuta Sana.. lakini ukileta fujo ataona umelipiza ataendelea.
 
Anakupenda huyo .japo kateleza usikubali kupoteza ndoa yako mtawapa tabu watoto mengine ni mitihani tuu ya kupita utasahau na INSHAALLAH mkipewa umri basi mtalea wajukuu na kuzikana.
 
Samahani kwani yeye ana umri gani na wewe una umri gani?
 
Huyo mwanaume hamtaki mke wake alikuwa anatafuta exit door tayari ameshaipata sasa uamuzi upo kwa mke wake.


Ni kweli, akufukuzae hakwambii toka, anakupiga matukio mazito ujiongeze mwenyewe ujue hupendwi tena!

Sasa wengi huendelea kung’ang’ania mwisho wa siku yanawafika ya kuwakuta!
 
Kama ww ni mkristo, Kwa Hilo jambo bible ipo wazi kabisa unaruhusiwa kumwacha, ila ana kheri yule amsemeheaye mwenzake na kuendelea na ndoa
 
Pole sana, msamehe endelea na maisha kupata mwanamme ambayebm hacheat ni ngumu sana sasa hivi, tumebaki 9 hapa Tz lakin namie naenda kushindwa sio muda hivyo watabaki 8[emoji25]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu umenichekesha sana
 
Ndio mkome wajinga mpaka damu itoke masikioni ndo mtaelewa, kila siku mnaambiwa mwanamke ameumbwa kuhudumia familia na kukaa nyumbani mnajifanya mafeminist ooh wapambanaji wajinga watupu haya umeondoka kidume kaleta mwanamke mwingine. Badala ukae umuhudumie mumewe unajifanya unajua sana kutafuta hela haya nenda kaolewe na noti ya elfu kumi.
 
Kosa alilofanya mumeo ni kosa kubwa ambalo ni kukili na hili kosa halitakiwi kufanywa na mwanaume yeyote
na hastahili kusamehewa.
Tofauti na hapo naona hana kosa kabisa kwa kukili kosa mmeo ananafasi yake peponi(i.e kiongozi wa malaika)
yawezekana kwa Tanzania ni yeye pekee aliye fanikiwa kukiri kosa kwa mwaka huu wa 2021.
N:B Naomba asisamehewe iwe fundisho kwa wanaume wote wenye tabia kama zake za kukubali kosa kwa vinywa vyao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…