Unawezaje kumuhandle mke mwenye kiburi?

Therapy ipi inaweza faa?
 
Kwa bongo therapy ni mpaka umpeleke kwa psychologist only??
 
Therapy ipi inaweza faa?


Ntakupatia naomba unipe muda nipo na busy Sana Ila j. nne usiku tuwasiliane PM

Huyo mke wako atapona na atakuwa sawa na mtafurahia maisha vizuri.

Watu wengi wamepitia hizo hali na wamesaidiwa na wanaishi vizuri.
 
Si uliona shape(chura kubwaa) ndiyo kigezo muhimu, ukacompromise tabia, pambana ila mkuu umejaribu kuongea naye kwamba hupendezwi na hicho kiburi na anakujibuje?



Mkuu kuwa na Umbo fulani na kiburi ni mambo mawili tofauti.

Unaelewa neno vulnerability - hili neno MTU anakuwa anaweza kuwa easily attacked physically ,emotionally , and spiritually.

Jambo ambalo huwapata wanawake wenye muenekano mzuri kwa nje huwa ni kuoana wanaweza kuolewa au kupata Mume muda wowote wanaotaka .kumbe kutongozwa sana na kupendwa Sana haya ni mambo mawili tofauti.


So mwanamke kuwa mzuri na kuwa na kiburi hii hali inaweza kumpata mwanamke wa kawaida na pia mwanamke mzuri

Nadhani mtoa mada hajakosea kutafuta mke mzuri Ila ajaribu kumtoa mke wake katika illusion na aanze kuwa na 'sense of who you are' wataishi vizuri.
 
Ntakupatia naomba unipe muda nipo na busy Sana Ila j. nne usiku tuwasiliane PM

Huyo mke wako atapona na atakuwa sawa na mtafurahia maisha vizuri.

Watu wengi wamepitia hizo hali na wamesaidiwa na wanaishi vizuri.
Mkuu kwanini usiandikie hiyo tiba(therapy) hapahapa au kuandaa uzi maalumu?

Huenda kuna wengi wanakabiliwa na hili tatizo lakini huyu ni mmoja tu aliyejitokeza na kuweka wazi.
 
Mkuu kwanini usiandikie hiyo tiba(therapy) hapahapa au kuandaa uzi maalumu?

Huenda kuna wengi wanakabiliwa na hili tatizo lakini huyu ni mmoja tu aliyejitokeza na kuweka wazi.
Ni kweli mkuu, aandike tu hapa hayo mambo ya juma nne duh
 
Piga mzigo mkuu kisirani kitapungua.
 
Mpigie mama yake mwambie mwanao nataka arudi kwenu akiacha kiburi mnijulishe
 
Aingie kwenye ngoma ndo tuongee lugha moja.
Kule sio poa. Kuna watu wazima hapa wanasema kataa ndoa wana hoja zao wale wameshaona mengi. Japo mimi siungani nao ila pia siwezi kukatalia wanachoona wao kulingana na experience yao.
 
wewe unaongea kama mwanasaikolojia au kama mtoa maoni wa kawaida? Hujui kuwa kipigo ni njia ya kuchange behaviour na ipo ktk muongozo wa psychology na inatumika sehemu nyingi ikiwemo majumbani, shuleni, magerezani n.k! Japokuwa imepitwa na wakati badala yake anaweza kutumia njia nyingine zilizo bora kwa kumpa maumivu ya kisaikolojia na sio physical pain yaani simple tu kila anacho kipata kwa huyo mwanamke akitafute kwingine na am ignore hata akileta drama zake zote just ignore her kuwa kama vile hujari upo bize na mambo yako
 
Nimejaribu kumwambia baba yake ili aongee nae, kasema atazungumza nae subiri nione
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…