Unawezaje kumuhandle mke mwenye kiburi?

Unawezaje kumuhandle mke mwenye kiburi?

Kuna watu wanadai eti hakuna mwanamke mwenye kiburi , eti kuna namna unambakisha na upwiru ndio maana anakua na kiburi.
Sio kweli kiburi ni tabia, ndo maana wanaume tunashauriwa kabla hujamuoa mtu chunguzaneni kwanza.
 
wewe unaongea kama mwanasaikolojia au kama mtoa maoni wa kawaida? Hujui kuwa kipigo ni njia ya kuchange behaviour na ipo ktk muongozo wa psychology na inatumika sehemu nyingi ikiwemo majumbani, shuleni, magerezani n.k! Japokuwa imepitwa na wakati badala yake anaweza kutumia njia nyingine zilizo bora kwa kumpa maumivu ya kisaikolojia na sio physical pain yaani simple tu kila anacho kipata kwa huyo mwanamke akitafute kwingine na am ignore hata akileta drama zake zote just ignore her kuwa kama vile hujari upo bize na mambo yako


Mimi siongei tu
Kuhusu tabia kubadilisha hiyo njia ya kupiga au kumtukana sio njia inayotoa matokeo na wengi wanaotumia hiyo njia wameshindwa kufikia lengo.

Katika saikolojia vipigo sio njia ya kubadilisha tabia

Katika positive reinforcement na negative reinforcement hakuna sehemu IPO recommended upige viboko au kupiga.


Gerezani tumefanya Sana kazi huko naelewa hakuna kipigo ambacho huwa kinamfanya MTU a badilike completely

Kuna utofauti Wa MTU kubadilika Kuwa na tabia nzuri na kutulia MTU ukimpiga atatulia na kukusikiliza Ila sio kubadilika completely.

Ingekuwa vipigo vinasaidia wezi au majabazi wangekuwa wakitoka gerezani wanaacha kuiba na watoto wengekuwa na Adabu Sana.
 
Si uliona shape(chura kubwaa) ndiyo kigezo muhimu, ukacompromise tabia, pambana ila mkuu umejaribu kuongea naye kwamba hupendezwi na hicho kiburi na anakujibuje?
Wasiwasi wangu ndio huu...
Sasa vingine anafaidi (makalio, muonekano, utamu nk.) vikwazo anataka tumtatulie jf mbona si haki hii
 
Punguza kisirani Broo,,,hujalazimishwa uliamua mwenyewe na huyo mwenzio Sana Pambana "Hilo Ndio Chaguo Lako"NDOA ni Taasisi,,NDOA si Harusi,,,Usitugombeze Tafaadhaalii Broo!!
Mdogo wangu mi sifoki nimekutahadharisha. Hizo theories za kwenye mahusiano usiingie nazo kwenye ndoa. Kama umeshajua ni taasisi basi hakikisha na kwenye ndoa mnaishi kama taasisi inavyotakiwa kuendeshwa. Hiyo mentality uliyonayo unaangusha taasisi wewe.
 
Back
Top Bottom