lamekiAgustino
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 481
- 1,318
sema Joanah umepoteza mvuto wako kwenye hili jukwaa kinyamaPiga chini
haiwezekani now watu kama hawaoni comment zako hushobokewi kabisa kama zamani pm yenyewe umeacha wazi🤣🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sema Joanah umepoteza mvuto wako kwenye hili jukwaa kinyamaPiga chini
Amekwambia ameoa goal keeper?Mnyime pesa
Mlaze njaa mara kadhaa
Mkuu unaishi wapi huko kwenye wanawake wa ivyo?Suala la kujilisha sio dogo kama unavyodhani, linaambatana na majukumu mengine mengi na ya muhimu ambayo akiachiwa mwanamke mwenye kiburi, anaumwa presha na madonda ya tumbo
Punguza kisirani Broo,,,hujalazimishwa uliamua mwenyewe na huyo mwenzio Sana Pambana "Hilo Ndio Chaguo Lako"NDOA ni Taasisi,,NDOA si Harusi,,,Usitugombeze Tafaadhaalii Broo!!Dogo oa kwanza utajua udhaifu ni nini. Kauli kama yako ni kiashiria bado kinda na haupo kwenye ndoa mnacheka cheka tu kwenye mahusiano
Hata mshambuliaji anahitaji pasi kutoka ili ascoreAmekwambia ameoa goal keeper
Dakawa morogoroMkuu unaishi wapi huko kwenye wanawake wa ivyo?
Basi mnayo raha Mkuu, basi Mkuu hapa Arusha mwanamke anao uwezo wa kuilisha familia yake (ya ndoa) na mchepuko wake kila siku bila tabu yoyote.Dakawa morogoro
Sio kweli,kiburi ni ishu ya kiroho na malezi sasa hapa inahusikaje na upwiruKuna watu wanadai eti hakuna mwanamke mwenye kiburi , eti kuna namna unambakisha na upwiru ndio maana anakua na kiburi.
Kwa nini umpige mwanamkeDogo oa kwanza utajua udhaifu ni nini. Kauli kama yako ni kiashiria bado kinda na haupo kwenye ndoa mnacheka cheka tu kwenye mahusiano
Kama hana pesa mbona easy kum handle punguza service as much as you canPesa hana na Leo asubui nimemnyanganya smart phone maana nilinunua ili kumpa heshima ananiona mi kolo
Mkazano utokea panapo upendoMtafutue cha kufanya ili awe busy, alafu mkaze sawasawa
Kiroho ndio wap huko rafiki ,basi tuseme upwiru wa kiroho.Sio kweli,kiburi ni ishu ya kiroho na malezi sasa hapa inahusikaje na upwiru