Unawezaje kumuhandle mke mwenye kiburi?

Dogo oa kwanza utajua udhaifu ni nini. Kauli kama yako ni kiashiria bado kinda na haupo kwenye ndoa mnacheka cheka tu kwenye mahusiano
Punguza kisirani Broo,,,hujalazimishwa uliamua mwenyewe na huyo mwenzio Sana Pambana "Hilo Ndio Chaguo Lako"NDOA ni Taasisi,,NDOA si Harusi,,,Usitugombeze Tafaadhaalii Broo!!
 
Kuna watu wanadai eti hakuna mwanamke mwenye kiburi , eti kuna namna unambakisha na upwiru ndio maana anakua na kiburi.
Sio kweli,kiburi ni ishu ya kiroho na malezi sasa hapa inahusikaje na upwiru
 
Pesa hana na Leo asubui nimemnyanganya smart phone maana nilinunua ili kumpa heshima ananiona mi kolo
Kama hana pesa mbona easy kum handle punguza service as much as you can
Mu ignore kwa mda angalau wa mwezi huna story nae tafuta namna nyingine ya kufurahia maisha eg watching football
(Sishauri ukatili wa kimwili kama kumpiga au kumtukana au kudhalirisha kwa namna yoyote Ile just be silent cut service and move on)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…