The choosen one1
Member
- Dec 13, 2023
- 67
- 238
Kila group Lina malengo yake, ukiwa admin unahakikisha malengo hayo yanafuatwaHivi uadmin huwa unafaida gani.
Hizo ni kazi za Admin, nataka kujua faida ya kuwa adminKila group Lina malengo yake, ukiwa admin unahakikisha malengo hayo yanafuatwa
Unalipwa laki 5 kila mwezi.Hizo ni kazi za Admin, nataka kujua faida ya kuwa admin
Hilo group lizima litakuwa lile la IBM MWALIMU ISAYA BENSON ambalo manudhui yake hayawapendezi watu Fulani fulani.Wakuu kuna mtu amehack group langu la whatsapp la muhimu sana.
Naombeni kufahamu inawezekanaje hii, mtu umemuamini na kumpa uadmin halafu unaamka unakuta "You're no longer an admin" wakati wewe ndiye whatsapp group creator.
Naombeni kufahamishwa wajuzi wa mambo
Teknolojia ni Yetu sote
hayo ni mapinduziWakuu kuna mtu amehack group langu la whatsapp la muhimu sana.
Naombeni kufahamu inawezekanaje hii, mtu umemuamini na kumpa uadmin halafu unaamka unakuta "You're no longer an admin" wakati wewe ndiye whatsapp group creator.
Naombeni kufahamishwa wajuzi wa mambo
Teknolojia ni Yetu sote
Faida mojawapo ni kupewa majoto na watoto wa kike unaowa-add kwenye group.Hizo ni kazi za Admin, nataka kujua faida ya kuwa admin
Ata share vipi wakati is no longer available there๐Unda jingine, share link kwenye hilo la zamani, hilo la zamani lireport.
Kumbeeeee ๐ ๐ ndio maana jamaa kaumia sanaFaida mojawapo ni kupewa majoto na watoto wa kike unaowa-add kwenye group.
Vishu Mtata utamweza??Ata share vipi wakati is no longer available there๐
HahahVishu Mtata utamweza??
Jamaa naumia sana, halafu nadhani group lake lina maudhui ya ngono hahaha ๐Kumbeeeee ๐ ๐ ndio maana jamaa kaumia sana
Akishea link namblock nafuta mara mojaaUnda jingine, share link kwenye hilo la zamani, hilo la zamani lireport.
HeheheWakuu kuna mtu amehack group langu la whatsapp la muhimu sana.
Naombeni kufahamu inawezekanaje hii, mtu umemuamini na kumpa uadmin halafu unaamka unakuta "You're no longer an admin" wakati wewe ndiye whatsapp group creator.
Naombeni kufahamishwa wajuzi wa mambo
Teknolojia ni Yetu sote
HeheheWeee ulivo mpa uadmin ukitegemea nn.. ??