Unawezaje kumuondoa Admin aliyetengeneza Group la whatsapp,

Unawezaje kumuondoa Admin aliyetengeneza Group la whatsapp,

Wakuu kuna mtu amehack group langu la whatsapp la muhimu sana.

Naombeni kufahamu inawezekanaje hii, mtu umemuamini na kumpa uadmin halafu unaamka unakuta "You're no longer an admin" wakati wewe ndiye whatsapp group creator.

Naombeni kufahamishwa wajuzi wa mambo
Teknolojia ni Yetu sote
Hilo group lizima litakuwa lile la IBM MWALIMU ISAYA BENSON ambalo manudhui yake hayawapendezi watu Fulani fulani.
 
Back
Top Bottom