Unawezaje kununua/kuimport pikipiki used kutoka China?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Magari used China hayajawa soko zuri Tanzania kwasababu mengi ni LHD, ivyo ni wabishi tu wataweza kuendesha kwenye nchi yenye RHD.

Sasa China wako vizuri kwenye pikipiki, tena kwa bei nafuu. Zama za kukomaa na Japan zimepita. Bei kubwa Pikipiki ya 2010.

Nimekua nikifuatilia hawa jamaa na nimejiridhisha sema kujua taratibu za kuagiza ndio bado. Je, nani anajua naweza kuanzia wapi?

Kuna makampuni makubwa kutoka China kama CFMoto, Benelli nk yanatoa pikipiki nzuri sana na bei rafiki zikiwa mpya, imagine used.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…