Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
vipi mkuu ulipataa???Wakuu naomba kuuliza hili swahili.
Unawezaje kupata Scholarship ya kusoma PhD US au CANADA.
Kama kuna mtu alishawai pata tutoe tongotongo tuweze kuelewa na ulipata aina gani ya scholarship.
Utapata kwa kuapply kupitia source sahihi na uwe na vigezo husika.Wakuu naomba kuuliza hili swahili.
Unawezaje kupata Scholarship ya kusoma PhD US au CANADA.
Kama kuna mtu alishawai pata tutoe tongotongo tuweze kuelewa na ulipata aina gani ya scholarship.
Wawekee umbeya, siasa, na hadithi za ngono uone kama itàgharimu hata nusu saa tu kufika zaidi ya jumbe 100.Huu Uzi ulitakiwa uwe active na productive...Kwani hizi ndio sehemu za kupeana opportunities lakini utakuta wajuzi wanapita tu
Sasa huo ni ushauri au mawazoUtapata kwa kuapply kupitia source sahihi na uwe na vigezo husika.
Sina uzoefu ila nami ni candidate
Hilo ni jibu maana mtoa mada ameuliza swali.Sasa huo ni ushauri au mawazo
Kasome Ilani mwanzo-mwisho. Wameelezea vizuri tu.Wakuu naomba kuuliza hili swahili.
Unawezaje kupata Scholarship ya kusoma PhD US au CANADA.
Kama kuna mtu alishawai pata tutoe tongotongo tuweze kuelewa na ulipata aina gani ya scholarship.
Wajuzi ndio tunauona, usiogope, kwanza kabisa jiweke utayari na GMAT/GRE kutegemeana na kozi unayotaka kupanua, ila pia IELTS ama TOEFL kutegemeana na nchi husika au chuoHuu Uzi ulitakiwa uwe active na productive...Kwani hizi ndio sehemu za kupeana opportunities lakini utakuta wajuzi wanapita tu
Ahsante mkuuAnza kutoa publications mbalimbali ili kujiongezea nafasi ya ufadhili wa PhD
Pia unatakiwa ujitathmini kutokana na uwezo wako, hatua ya PhD na kuendelea, ni hatua ya kuandika machapisho(tafiti) na vitabu mbalimbali mara kwa mara ili kuionyesha dunia una ujuzi uliotukuka. Kuna aina mbili za PhD:-Ahsante mkuu
Nataka Phd Hai mkuuPia unatakiwa ujitathmini kutokana na uwezo wako, hatua ya PhD na kuendelea, ni hatua ya kuandika machapisho(tafiti) na vitabu mbalimbali mara kwa mara ili kuionyesha dunia una ujuzi uliotukuka. Kuna aina mbili za PhD:-
- PhD hai:- hii ni PhD inayotoa machapisho na vitabu mara kwa mara katika 'platform' za kimataifa, na anaweza kufundisha chuo chochote duniani
- PhD mfu:- hii ni PhD ya cheti tu, haitoi machapisho wala vitabu, ni ile mtu kurizika tu kuwa ana PhD lakini haifanyi kazi. Anaweza pia asiajirike.
Tayari nimeanza mdogo mdogo, natarajia kutuma first paper this month to peer review journal.Anza kutoa publications mbalimbali ili kujiongezea nafasi ya ufadhili wa PhD