Unawezaje kupata Scholarship ya kusoma PhD US au CANADA

Unawezaje kupata Scholarship ya kusoma PhD US au CANADA

Ingia tovuti za embasies then apply huko!! Lakin make sure una admittion leter katika chuo kimoja wapo katika nchi yao. Naonag near march na September wanatoag chansi . una PEC au ielts!?
 
Subscribed
Huwa natumia LinkedIn na sometime tweeter, most of the PhDs ni projects au sehemu za projects ambazo mara nyingi huwa ziko na ma professor kwa chuo au ma supervisor fulan kama ni kwa Companies, wahusika huwa wana post kama ajira ndio huwa nazionaga kwa style hiyo
 
Huu Uzi ulitakiwa uwe active na productive...Kwani hizi ndio sehemu za kupeana opportunities lakini utakuta wajuzi wanapita tu
Wajuzi ndio tunauona, usiogope, kwanza kabisa jiweke utayari na GMAT/GRE kutegemeana na kozi unayotaka kupanua, ila pia IELTS ama TOEFL kutegemeana na nchi husika au chuo

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Ahsante mkuu
Pia unatakiwa ujitathmini kutokana na uwezo wako, hatua ya PhD na kuendelea, ni hatua ya kuandika machapisho(tafiti) na vitabu mbalimbali mara kwa mara ili kuionyesha dunia una ujuzi uliotukuka. Kuna aina mbili za PhD:-
  • PhD hai:- hii ni PhD inayotoa machapisho na vitabu mara kwa mara katika 'platform' za kimataifa, na anaweza kufundisha chuo chochote duniani
  • PhD mfu:- hii ni PhD ya cheti tu, haitoi machapisho wala vitabu, ni ile mtu kurizika tu kuwa ana PhD lakini haifanyi kazi. Anaweza pia asiajirike.
 
Nataka Phd Hai mkuu
 
Ila wakuu hii korona imetibua kabisa moody ya scholarships majuu. Mara variant mpya mara wameanza kurekodi maambukizi mapya dah
 
Back
Top Bottom