Unawezaje kutesa familia na kufata makahaba wake za watu na umri huu 33

Hakuna utajiri hapo dada zangu ni ujinga na ulimbukeni wa mshikaji- kwa alikurupuka kuoa-hajui nini maana ya mke. nyumba 2 na magari 3 magofu tu hayo na magadi chakavu.
 
Wanawake jifunzeni kuwaombea waume zenu. Usipo muombea mumeo, kaa ukijua lazima atachukuliwa na mashankupe
 
Kwa nini huyo mke asijaribu kutafuta watu wengine wakamshahuria mme wake? kama baraza la familia, best man etc. Kama alijaribu na yakashindikana basi nadhani ni bora waachane. Relations are meant to increase your happiness, not cut on it.

amejaribu so many time wakati mwingine mume wake anawafukuza asante
 
asante sana nice day
 

si jambo la busara wasambaratike mwisho wa siku watoto wanaitaji kuwa na wazazi
 

Separation serves best here for each party before someone gets destroyed beyond redemption. wagawane nyumba kila mtu na lwake ,ni kweli watoto wanahitaji malezi ya wazazi wote lakini siyo kama haya wanayokulia. Huyo jamaa ni "damaged goods" hawezi badilika.
 
Basi aondoke. Atakuja kuuwawa mweisho, kwa mangumi na mateke, au kwa magonjwa ya moyo na ya ngono.

nani anajua mambo ya Ustawi wa jamii kazi zao kweli haziwezi msaidia
 
nikweli kabisaaaa
 

jamani na wengine ambao wanafanania pateni msg hapa tx
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…