Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani naomba kwanza nimpe pole sana huyu mama anayepitia haya magumu. Pili napenda kuchukua nafasi hii kumshauri ila aamue mwenyewe simlazimishi.
kwanza kabisa ajue kwamba huyu ni mumewe na kwamba kukosea hakujabadilisha nafasi yake kwake hata kidogo. Pili anapasa ajue kwamba anawatoto ambao wanapaswa kulelewa katika maadili mema na wasionnyeshwe ukatili wa aina yyte ile.
humu jamvini naamini wengi wetu tu mashahidi na wahanga a akina baba katika makuzi na malezi yetu lakin pia pamoja na hayo tulipita na kufikia hapa. Binafsi nadiriki kusema kwamba busara na hekima ya mama ndiyo inayotoa dira kwa makuzi ya watoto wake, so huyu mama anapaswa ajue hii changamoto ataikabilije.
Ushauri wangu kwake najua hapa nitatofautiana na wengi sana ni kwamba huyu mama anapaaswa ajipange upya. Mwambie hivi kila siku saa nane usiku aamke aachie kitanda asali japo kwa lisaa limoja. aombee ndoa yake tu na watoto wake. kisha kila siku aubuhi amwombe Mungu amfiche yeye mama dhidi ya makosa na ubaya wowote yaani ibilisi asione makosa yake ili awe na amani na furaha kisha atumie moto wa Roho mtakatifu kujifunika ili mikono ya mumewe iwe mizito kumpiga yaaani isiweze.
kumbuka kwamba mwisho wa siku huyu mama anatakiwa kuwa mshindi so to me nisingemchukia kabisa, wala siyo unafiki na ningesimama vizuri na Mungu wangu kwa maombi na sala bla kusema kwa mtu na ningetamka kabisa sasa nimefika mwisho sitaki tena kupigwa wala kudhalilishwa. ila tu kuna hatari kwamba Mungu anaweza kyajibu maombi haya kwa njia mbaya kama vile kumti akilema so uwe hujaweka kinyongo wala chuki ili usije ukatamka mambomabaya juu yake.
Kama ulisoma ile thread yangu ya uvumilivu mimi nilipita zaid ya hapa ila sikuwah kuondoa imani yangu kwa Mungu aliyejuu, niliiga magoti hadi nikapata sugu na wakati wa bwana ulipofika nilitoka na leo nafurahia. Mama ajipime moyoni mwake kama kweli ana mapenzi ya kweli kwa huyu baba na anataka kuwalea wanae pamoja na huayu baba kisha achukue hatua kama hana mapenzi aondke asiombe kwani atapoteza muda wake ila kama ana mapenzi ya kweli na kwamba ni muadilifu basi asugue goti Mungu atatenda tu.[/QUOT
ASANTE SANA TENA SANA JAMANI ILA USICHOKE KARIBU TENA NAWEZA KUKUAKIKISHIA UVUMILIVU WOTE HUO NI MAPENZI MAZITO TENA JAMAA HATA KAA MAISHA YAKE YOTE APATE MWANAMKE MREMBO WA SURA NA MOYO KAMA HUU NI ZAWADI KWA WACHACHE WETU NAKUNGOJA TENA NILIWEKA IMANI KWAKO SANA KARIBU
Unaweza ukawa una mlahumu mwanaume kumbe nawe una matatizo yanayo sababisha aswampe! Jaribu kujipima pia.
Kama mambo yote ni shwari kwa upande wako ni bora ukachukua maamuzi magumu lasivyo uchague kufa mapema! Na hii inaweza ikawa tabia ya mtu!
amwambie aende ustawi wa jamii kama ni muslim aende BAKWATA wataitwa na kusuluhishwa na ikishindikana ataandikiwa barua kwenda mahakamani kuomba divorce ingawa kuna ground zinazoruhusu kuomba talaka hata bila kupitia katika m
abaraza ya usuluhishi..eg ukatili anaofanyiwa na mme wake ni ground toisha na bahati nzr ana mashahidi wa hapo kwake.
NOTE; Talaka si nzr tena pale unapokua na watoto na inavyoelekea huyu mama hataki talaka lakini akumbuke maisha yake ni muhimu kuliko ndoa ambayo one part haiko commited...si vibaya akienda kwenye mashirika ya haki za wanawake kutafuta advice zaidi.
a
asante sana je unaweza nitajia hayo mashirika ya haki za wanawake na kuongeze haki za watoto pia karibu tena