Unawezaje kutesa familia na kufata makahaba wake za watu na umri huu 33

Unawezaje kutesa familia na kufata makahaba wake za watu na umri huu 33

mbona huyu sterling hujampumzisha?

Movie zingine huwa tunaona sterling anateseka wee, lakini kuna saa anakunywa juisi lol

nilikuwa kikazi zaidi ni hayo tu au umeamu kuniangusha na mwaliko wote
 
mimi nimeona 'makahaba wake za watu '

halafu mnasema wake za watu sumu
kumbe na makahaba wake za watu wapo?

Boss tena hao ndo wabaya na kwa waganga kuloga waume za watu while waume zao ni vimeo zaidi si ujinga angewekeza kwake anaenda palilia makaa yatakayo mchoma 40 ikifika anapoteza hata huyo gubegube wake utakanyaga kaa la moto usiungue???????????????
 
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;afanya jambo litakalomuangamiza mwenyewe
 
Umeona eeh..Kuna njia nyingi sana za kushauri watu including makofi mawili tena ya Nguvu.

Sasa hapo anataka tumshauri nini? Kuwa aendelee kuvumilia?
Angekuwa mdogo wangu Hutu ningemtandika makofi tu, yangemsaidia. Na alihang on wakati kuna hela, sasa kijogoo pori kimekuwa muflisi huh? Kweli akili za like, kha!
 
Inaelekea wewe mwongeaje...una maneno eti mchaka chaka unapumzika kuhema.

i

copy naona uko mbioni haswa hata mchaka chaka wakati mwingine unapumzika kuhema ukiwa unafanya hilo pumzika hapa japo kwa one line
 
Nikiliangalia hili tatizo kwa jicho la tatu ni hivi. Naanza na maswali
1. Kwa nini ameamua kushughulikia tatizo la mumewe sasa hivi? Why now? Kwa kuwa amefulia?
2. Je huyo jamaa alimuoa binti akiwa na pesa au alikuwa arosto/wa kawaida by then...?maana kama ulivyosema ndoa ina miaka mitano ni more likely dada pesa alizikuta.
3. Na kama alizikuta je mapenzi yalikuwepo au ndio wale wale wanaofuata mali kwa wanaume...? mwanaume alikuwa na pesa na mdada alikuwa mzuri kama ulivyosema hivyo kaka alipata kitu murua sababu ya pesa yake na wala si penzi.
4. Je nitakuwa wrong niki conclude kuwa huyu dada aliamua kuvumilia kwa kuwa alifata pesa toka kwa jamaa...? Sasa pesa imeisha anaanza kuona kuwa ni player wakati alikuwa hivyo toka nyuma na hakuchukua maamuzi yeyote magumu...na kama alimuoa akiwa player hapo hata suala la kuchukua maamuzi by then was irrelevant.

Why now that the guy is poor? Mwambie amvumilie kidogo pesa zikirudi ndio amuache kwani jamii haitamuelewa since kama ni tabia ya umalaya jamaa hakuanza leo wala ya jana...Why take action now?
 
si jambo la busara wasambaratike mwisho wa siku watoto wanaitaji kuwa na wazazi

kwa hiyo telitaibi aendelee kukaa hapo kwenye ndoa na hayo manyanyaso yote halafu mume amletee ukimwi mwisho wa siku wafe wote?!wakishakufa nani atalea watoto?ni bora aangalie maisha yake na wanawe huyo mume atamuua jamani khaa!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu telitaibi huyo mwanamke aliolewa na huyo mwanaume kwa mapenzi ya dhati au kulikuwa ma msukumo fulani kama shinikizo la wazazi, mwanamke kubeba mimba n.k? Kuoa ni kitu kingine na kuwa na furaha ni kitu kingine; inawezekana kabisa huyo mwanamke siyo chachu ya furaha kwa mwanaume hasa baada ya miangaiko ya kutwa nzima.
 
Nikiliangalia hili tatizo kwa jicho la tatu ni hivi. Naanza na maswali
1. Kwa nini ameamua kushughulikia tatizo la mumewe sasa hivi? Why now? Kwa kuwa amefulia?
2. Je huyo jamaa alimuoa binti akiwa na pesa au alikuwa arosto/wa kawaida by then...?maana kama ulivyosema ndoa ina miaka mitano ni more likely dada pesa alizikuta.
3. Na kama alizikuta je mapenzi yalikuwepo au ndio wale wale wanaofuata mali kwa wanaume...? mwanaume alikuwa na pesa na mdada alikuwa mzuri kama ulivyosema hivyo kaka alipata kitu murua sababu ya pesa yake na wala si penzi.
4. Je nitakuwa wrong niki conclude kuwa huyu dada aliamua kuvumilia kwa kuwa alifata pesa toka kwa jamaa...? Sasa pesa imeisha anaanza kuona kuwa ni player wakati alikuwa hivyo toka nyuma na hakuchukua maamuzi yeyote magumu...na kama alimuoa akiwa player hapo hata suala la kuchukua maamuzi by then was irrelevant.

Why now that the guy is poor? Mwambie amvumilie kidogo pesa zikirudi ndio amuache kwani jamii haitamuelewa since kama ni tabia ya umalaya jamaa hakuanza leo wala ya jana...Why take action now?

alimkuta anatembea na miguu harusi na sare nilivaa mtake radhi mambo ya pesa na uzuri akili na busara zake angebeba any blnr na akapewa mapesa ya hatari ungemjua sijui ungekuwa kwa wakati gani sasa ungelia sana
 
Ndugu telitaibi huyo mwanamke aliolewa na huyo mwanaume kwa mapenzi ya dhati au kulikuwa ma msukumo fulani kama shinikizo la wazazi, mwanamke kubeba mimba n.k? Kuoa ni kitu kingine na kuwa na furaha ni kitu kingine; inawezekana kabisa huyo mwanamke siyo

chachu ya furaha kwa mwanaume hasa baada ya miangaiko ya kutwa nzima.

mwanamke alimpenda sana akamwacha boyfriend wake mwenye mapesa na kuamu kuwa na huyu kwani kimuonekano ni gtmn na mwenye sura ya ukarimu sana akijua mume si pesa ni tabia unajua tena kijana akitaka kuoa anaweza tembea kama jongoo ikibidi kumwini kile alichopenda na mwanaume malaya anajua mwanamke gani ana busara na uvumilivu kwani anawajua wengi we fatilia malaya wote wamepata wake wenye sifa za kimungu ndio maana yuko hadi leo angeoa kicheche kama yeye ukimwi na risasi ungesikia kwani kila mtu mwizi
 
kwa hiyo telitaibi aendelee kukaa hapo kwenye ndoa na hayo manyanyaso yote halafu mume amletee ukimwi mwisho wa siku wafe wote?!wakishakufa nani atalea watoto?ni bora aangalie maisha yake na wanawe huyo mume atamuua jamani khaa!

kwa dini yako na mimi kwa yangu hebu tubebe mzigo huu mume atakuwa kiumbe kipya tx
 
Simple she has a choice before her, aondoke akapambane najua atafanikiwa, Au akae afe kwa magonjwa Au mateso! Hakuna cha ushauri.

UOTE=telitaibi;4267215]hi, tusaidiane kuona namna ya kumsaidia mwanake mwenzetu na maisha haya ya familia yake, ana umri wa miaka 28 tu dada huyu ana watoto 2 ndoa yao ina miaka 5 mume ana umri wa miaka 33 tu, ni kijana msomi mzuri na aliyekuwa na maendeleo makubwa ya maisha kwa miaka 2 tu alimiliki magari 3 na nyumba kubwa 2 sasa hapo ndo balaa akajiona ndo dume la mtaa mke wa mtu asipite na kashida anapewa pesa na kulipa ngono mtaa mzima wauza bar twende makahaba wa mtaa twende sasa mambo yamekuwa kinyume magari 3 mpaka mguu hakuna kazi viwanja ni magenge ya wanawake wauza pombe awadanganye na vijipesa vya kodi

mke amekonda mawazo miaka yote analia apewe pesa afanye biashara kwa mumewe ni kama kumpandisha matapishi hampi chochote na mazalaliko yote ya mtaa mahitaji ya kawaida atajua mwenyewe mama ni mzuri mrembo mchapa kazi akaanza kupika popcon mara mandazi keki ajipatie matumizi kujiunga na vikundi vya mtaani ajipatie mikopo na vibati hadi leo ameshaweza kuchukua mkopo wa ml 3 na anakaribia kumaliza apate mkubwa zaidi ni mrembo anatongozwa jibu hatajiuza kwa pesa maisha kwani hayo ya wengine mpaka marafiki zake wameharibu maisha yao na asingependa amtende mwanamke mwingine anajua garama ya uchungu wake.

hadi sasa mume hashikiki kidogo kilichopo na barabarani wtoto hawaishi maisha ya kama dad ni mdogo na ni kijana tena msomi wale wa ilboru sec enzi hizo sikuku ya kuzaliwa wtoto yapita kama j4 vile sikuku wtt hawajui nguo wala zawadi hata muuza karanga za kubeba huvalisha wanae na wakajisikia kupendwa sana si hayo tu jamani pombe akirudi piga mke matusi ngoe nywele na hayo yote watoto wanaona na kulia wakisema mwache mama dad jamani anamvua nguo na kumfanyia ukatili akiita vijana wa kufagia nje waje kumuona mama matiti wazi usiku na mchana nikikumbuka haya nasisimuka na kumwambia MUNGU nini hatima ya mama huyu na watoto na haki ya ndoa hii hadi leo anamtimizia mume wajibu wake kama kawaida na mateso yote anacholia ni UGONJWA je? na mume ndo huyo akifa hatima ya watoto itakuwa vipi je atawezaje kuwasaidia watoto wasahau unyama na bado unaendelea watoto watakua watu gani na wanajifunza nini?nu huyu mume elimu yake ya mavyuo ndo hapo mwisho wa kutumia akili mimi nimeweza msaidia na hili tu amuombe tena sana na kutafuta watu ambao mume wake anawaheshimu tenaa wenye elimu na umri zaidi wamkalishe jamaa chini kama atasikia wewe unasenaje una mahali pa kumpeleka mama huyu asaidike hata kama ni kisheria na watoto hawa ndo chooooooooooooozi ziiiiiitooooooooo karibu na samahani usingizi koma na mengine hayakupata nafasi karibu sana nani anapinga ukatili nani anapambania haki za hawa wtoto ndo taifa la kesho saidia jamani nitafikisha na mambo yakiwa shwari nitarudi kuwashukuru si hadithi hadi leo wanalala na maisha haya na wataamkia tukichelewa kusaidia wapi kongosho, Mr Rocky,sweetlady,na wengine karibuni sana[/QUOTE]
 
hi, tusaidiane kuona namna ya kumsaidia mwanake mwenzetu na maisha haya ya familia yake, ana umri wa miaka 28 tu dada huyu ana watoto 2 ndoa yao ina miaka 5 mume ana umri wa miaka 33 tu, ni kijana msomi mzuri na aliyekuwa na maendeleo makubwa ya maisha kwa miaka 2 tu alimiliki magari 3 na nyumba kubwa 2 sasa hapo ndo balaa akajiona ndo dume la mtaa mke wa mtu asipite na kashida anapewa pesa na kulipa ngono mtaa mzima wauza bar twende makahaba wa mtaa twende sasa mambo yamekuwa kinyume magari 3 mpaka mguu hakuna kazi viwanja ni magenge ya wanawake wauza pombe awadanganye na vijipesa vya kodi

mke amekonda mawazo miaka yote analia apewe pesa afanye biashara kwa mumewe ni kama kumpandisha matapishi hampi chochote na mazalaliko yote ya mtaa mahitaji ya kawaida atajua mwenyewe mama ni mzuri mrembo mchapa kazi akaanza kupika popcon mara mandazi keki ajipatie matumizi kujiunga na vikundi vya mtaani ajipatie mikopo na vibati hadi leo ameshaweza kuchukua mkopo wa ml 3 na anakaribia kumaliza apate mkubwa zaidi ni mrembo anatongozwa jibu hatajiuza kwa pesa maisha kwani hayo ya wengine mpaka marafiki zake wameharibu maisha yao na asingependa amtende mwanamke mwingine anajua garama ya uchungu wake.

hadi sasa mume hashikiki kidogo kilichopo na barabarani wtoto hawaishi maisha ya kama dad ni mdogo na ni kijana tena msomi wale wa ilboru sec enzi hizo sikuku ya kuzaliwa wtoto yapita kama j4 vile sikuku wtt hawajui nguo wala zawadi hata muuza karanga za kubeba huvalisha wanae na wakajisikia kupendwa sana si hayo tu jamani pombe akirudi piga mke matusi ngoe nywele na hayo yote watoto wanaona na kulia wakisema mwache mama dad jamani anamvua nguo na kumfanyia ukatili akiita vijana wa kufagia nje waje kumuona mama matiti wazi usiku na mchana nikikumbuka haya nasisimuka na kumwambia MUNGU nini hatima ya mama huyu na watoto na haki ya ndoa hii hadi leo anamtimizia mume wajibu wake kama kawaida na mateso yote anacholia ni UGONJWA je? na mume ndo huyo akifa hatima ya watoto itakuwa vipi je atawezaje kuwasaidia watoto wasahau unyama na bado unaendelea watoto watakua watu gani na wanajifunza nini?nu huyu mume elimu yake ya mavyuo ndo hapo mwisho wa kutumia akili mimi nimeweza msaidia na hili tu amuombe tena sana na kutafuta watu ambao mume wake anawaheshimu tenaa wenye elimu na umri zaidi wamkalishe jamaa chini kama atasikia wewe unasenaje una mahali pa kumpeleka mama huyu asaidike hata kama ni kisheria na watoto hawa ndo chooooooooooooozi ziiiiiitooooooooo karibu na samahani usingizi koma na mengine hayakupata nafasi karibu sana nani anapinga ukatili nani anapambania haki za hawa wtoto ndo taifa la kesho saidia jamani nitafikisha na mambo yakiwa shwari nitarudi kuwashukuru si hadithi hadi leo wanalala na maisha haya na wataamkia tukichelewa kusaidia wapi kongosho, Mr Rocky,sweetlady,na wengine karibuni sana

Wanawake wanatumia njia mbaya kuwateka wanaume. Ni wanaume wachache sana kama hakuna wenye michezo ya kishirikina kwenye mapenzi, ila wanawake wa nje wengi wanafanya hayo mambo na mnabaki kutulaumu sisi wanaume kumbe kuna nguvu zaidi ya binadamu imeingizwa kwake. Kwa hayo uliyoyaeleza hapo juu, hakuna mwanaume mwenye akili timamu anayeweza kufanya hivyo kama hana mashetani kichani mwake.
 
yaani Kaunga ulivyoniita imebidi niache wadudu wangu nikukimbilie kwanza. haya ma sweet friend nimefika ngoja nimsome subiria nyanga tu.
Thanks dearest kwa kuitikia wito wangu; nilijua mawazo yako yatamsaidia kupata informed choices, who knows huenda naye uvumilivu (of course kwa msaada wa sala) waweza msaidia.
 
Back
Top Bottom