Asante sana kwa kuniitia gfsonwin amekuwa msaada ila wewe umeita ukakimbia japo moja tu latosha jiachie na kaushauri please
Wanawake wanatumia njia mbaya kuwateka wanaume. Ni wanaume wachache sana kama hakuna wenye michezo ya kishirikina kwenye mapenzi, ila wanawake wa nje wengi wanafanya hayo mambo na mnabaki kutulaumu sisi wanaume kumbe kuna nguvu zaidi ya binadamu imeingizwa kwake. Kwa hayo uliyoyaeleza hapo juu, hakuna mwanaume mwenye akili timamu anayeweza kufanya hivyo kama hana mashetani kichani mwake.
Nilimuita ili upate ushauri mwingine. Mimi ushauri wangu hautofautiani na wengi; she should pack her things and go, no one deserve to be treated like that!