Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

Usimuombe,kaa nae tafuta mchepuko Pangia nyumba,hudumia,ingia mzima mzima then kula maisha.

Usimuache huyo, kaa nae muda ukifika nae anataka mwambie uko period.. mwambie mboo ina allergy na K hazjatumika muda mrefu..

Yani mnyweshe vikombe alivyokua akikunywesha na mchepuko wako usiuache hata hii mjusi ikirudi sio mke ya kuwa nae peje ake hiii.
 
Sikuiona hii,kama mwanaume anapenda wiki sita tu aanze kula mzigo,hivi unakula vizuri huna stress,hupati hamu jamani?
Mimi mbona hamu zinakuwepo
 
Doh nyie watu mna roho ngumu,unawezaje kuvumilia muda wote huo aiseee😳
 
Anaa allege na condom muulize Alisha itumia wapi
 
Mkuu msema ukweli ni mpenzi wa Mungu, mwanamke akijifungua ni miezi mitatu mpaka sita, ndo hutakiwi kumgusa, baada ya hapo kukiwa na sababu zozote isipokuwa za ugonjwa hapo unapigwa, at mtoto afikishe miaka miwili? ok kondom hataki, dawa za uzazi hataki, hata kutumia kalenda(natural) hawezi??
 
Anavumilia wasiachane sio kana kwamba anavumilia kunyimwa unyumba, heshima ikikosekana kwenye ndoa hiyo ndoa inaenda kuoza
 
Ukiwa too nice guy lazima yakukute mambo ya hovyo hasa kwenye mahusiano.
 
Tafuta mke uoe.
 
Una uhakika mkeo anakula chakula kila siku na afya yake ikoje ? Ikiwa hali chakula basi no haki yake kukosa hisia na kusema hivyo Ila Kama anakula kanoe panga mtafute mgoni wako umkate kichwa.
 
mkuu huyo mtoto sio wako n amkeo anampenda sana jamaa aliempa mimba ndio maana hataki kuharibu mtoto mm mke wangu ananipa mpka mm naogopa mwenyewe nikiangalia tumbo kubwaaa iweje akuambie ujinga kama huo na kila njia anakataa.... pole sana asee jitahidi utafute mwanamke atakayekukubali kwa hali yako
 
Kakwambia ana allergie na kondom!!!! Alijuaje anakuwa na allergie? We ndo hutaki kuelewa. Mpaka agundue ana allergie,ina maana kila alipoitumia,alipata madhara. Na kila aliposhuka kavu kavu,alienjoy na hakupata madhala.
Je,una uhakika huyo mtoto wako? Maana kwa wengine inasemekana hawezi kudunguliwa tunda na mwanaume ambae si baba mzazi wa mtoto.

We hata akili ya kuzaliwa huna jamani?
 
Anza na kupima DNA huyo mtoto kwanza, chances are sio wa kwako pia.

Ila kama una uvumilivu endelea kuvumilia wakati wenzio wanatindua. In short kuna mwamba anaseviwa yote bila kubakisha.
Nakazia kwenye DNA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…