Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

Namaliza mwaka na miezi kadhaa bila sex kutoka kwa mke wangu, ujauzito ulipokaribia miezi 5 aliomba tuache kusex na akajifungua, Sasa mwaka umeisha tangu tuacha kusex

Mtoto ana mwaka na miezi kadhaa lakini wife anadai hatuwezi kusex kwa sababu atapata ujauzito mwingine nikamuuliza unaona tuanze kuanzia lini akasema bora mtoto afikishe miaka miwili
Nilipomwambia atumie uzazi wa mpango akadai unaharibu mwili na kusababisha magonjwa

Nilipomwambia tutumie kondomu anadai ana allergies na kondom na hawezi kutumia..
Najiuliza hivi nyie mlio katika ndoa hili swala huwa mnalifanyaje au mnasubiri miaka miwili kweli au mnatumia njia gani?

Muda mwingine nawaza kuwa na mchepuko lakini naona ni dhambi kumsaliti wife.

Ushauri wenu tafadhali
Bro what's your name again??

You deserve an award!!!!!

Nawaza jina la tuzo...litakuwaje
 
Namaliza mwaka na miezi kadhaa bila sex kutoka kwa mke wangu, ujauzito ulipokaribia miezi 5 aliomba tuache kusex na akajifungua, Sasa mwaka umeisha tangu tuacha kusex

Mtoto ana mwaka na miezi kadhaa lakini wife anadai hatuwezi kusex kwa sababu atapata ujauzito mwingine nikamuuliza unaona tuanze kuanzia lini akasema bora mtoto afikishe miaka miwili
Nilipomwambia atumie uzazi wa mpango akadai unaharibu mwili na kusababisha magonjwa

Nilipomwambia tutumie kondomu anadai ana allergies na kondom na hawezi kutumia..
Najiuliza hivi nyie mlio katika ndoa hili swala huwa mnalifanyaje au mnasubiri miaka miwili kweli au mnatumia njia gani?

Muda mwingine nawaza kuwa na mchepuko lakini naona ni dhambi kumsaliti wife.

Ushauri wenu tafadhali
Pole sana mkuu.

Umepigwa siasa ukaamini kabisa.

Baada ya miezi 2 tu nilikuwa uwanjani na hakuna kilichoharibika. Ni umakini tu wa kuzingatia kalenda
 
Ndoa zimekuwa kuzungumkuti.... 😁
 
Pole sana mkuu.

Umepigwa siasa ukaamini kabisa.

Baada ya miezi 2 tu nilikuwa uwanjani na hakuna kilichoharibika. Ni umakini tu wa kuzingatia kalenda
Mimi ni Baba wa watoto 4. Kwa mtoto wetu wa Mwisho Glory. Nilikuwa nakula mambo hadi keshokutwa amejifungua. Dada yake kamuuguza na baada ya siku 21, kanipa. Baada ya siku 42 kaenda kufunga kizazi. Jamaa sidhani hata kama huyo mtoto ninwake, anachapiwa dogo.
 
Kama nina kichaa basi subiri Lamomy athibitishe!
Lamomy siku mchukilia serious nilihisi ana mtania half America sasa huyo Lamomy athibitishe yeye ndio alioe onge kwanza sina muda wa kupigizana kelele na mtu asiejielewa sielewi 😒 una fight nini mpka sasa Kama huna hela ya dinner sema tu nikutumie maana masikini kama wewe wahitaji ufadhili sio ziada.
 
Back
Top Bottom