Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

Alah tena wakati umesema ukipendwa hata huko unatoa? Au Lamomy anisaidie kwenye hili?
Soma vizuri au unashida ya macho
Kama umependwa wala wamsumbuani wapewa tu hadi kisamvu
Onesha wapi nimesema natoa mbele na nyuma

Usi kurupukie mambo mkuu nilie Kuwa naongea nae alielewa na maanisha Nini.👌
 
Hii mpya kabisa..watu tunaanza siku 40 papuuu zikiisha..huyo ni muongo ana yake mambo..au hakupendi itakua aisee...hii kali sana sijawahi kusikia..
 
Back
Top Bottom