Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

Namaliza mwaka na miezi kadhaa bila sex kutoka kwa mke wangu, ujauzito ulipokaribia miezi 5 aliomba tuache kusex na akajifungua, Sasa mwaka umeisha tangu tuacha kusex

Mtoto ana mwaka na miezi kadhaa lakini wife anadai hatuwezi kusex kwa sababu atapata ujauzito mwingine nikamuuliza unaona tuanze kuanzia lini akasema bora mtoto afikishe miaka miwili
Nilipomwambia atumie uzazi wa mpango akadai unaharibu mwili na kusababisha magonjwa

Nilipomwambia tutumie kondomu anadai ana allergies na kondom na hawezi kutumia..
Najiuliza hivi nyie mlio katika ndoa hili swala huwa mnalifanyaje au mnasubiri miaka miwili kweli au mnatumia njia gani?

Muda mwingine nawaza kuwa na mchepuko lakini naona ni dhambi kumsaliti wife.

Ushauri wenu tafadhali
Si Kwa sababu Kuna wanawake wengine au?
 
Nashauri wanandoa tuwe na jukwaa letu

Kataa ndoa huwezi kuwauliza ushauri wa mambo za ndoa wakakushauri vizuri wao ni mafundi vunja vunja
 
Namaliza mwaka na miezi kadhaa bila sex kutoka kwa mke wangu, ujauzito ulipokaribia miezi 5 aliomba tuache kusex na akajifungua, Sasa mwaka umeisha tangu tuacha kusex

Mtoto ana mwaka na miezi kadhaa lakini wife anadai hatuwezi kusex kwa sababu atapata ujauzito mwingine nikamuuliza unaona tuanze kuanzia lini akasema bora mtoto afikishe miaka miwili
Nilipomwambia atumie uzazi wa mpango akadai unaharibu mwili na kusababisha magonjwa

Nilipomwambia tutumie kondomu anadai ana allergies na kondom na hawezi kutumia..
Najiuliza hivi nyie mlio katika ndoa hili swala huwa mnalifanyaje au mnasubiri miaka miwili kweli au mnatumia njia gani?

Muda mwingine nawaza kuwa na mchepuko lakini naona ni dhambi kumsaliti wife.

Ushauri wenu tafadhali
Huyo sio mke wako ni dada ako
 
Yaani Mimi nisipopata mwanamke ndani ya siku 2 lazima nile nyeto, wewe unawezaje kukaa miaka miwili bila kugegeda?. Hata mchepuko huna?

Huyo mwanamke ukiwa naye kitandani analala na nguo? Nani anahudumia familia? Wewe au mwanamke?.
Itoshe tu kusema hii mada inakudhalilisha maana inaonesha mapungufu yako ndani ya hiyo ndoa, inaonekana huna kauli mbele ya huyo mwanamke.
 
Mimi ni muumini wa kuoa, na kutengeneza familia imara, na nitaoa. Ilabnyuzi kama hizi huwa zinaturusha nyuma wakuu. Ni kweli mnataka ushauri ila kuna sisi wengine mnatuvunja mioyo. Tunaona huko kwenye ndoa kuna kuteseka tu.

Nasema kuteseka kwa sababu hio naiona drama kama drama tunazokutana nazo kwa vibinti vya kitaa. Kikiwa hakikutaki kinakua na visingizio vingi sana.

Huyo mkeo mkuu bila kupepesa macho kuna mtu anamla kama sivyo basi utakua na bahati ila jua kuwa umepoteza mvuto kwake. Yaan hahisi chochote kwako.

Pole sana mkuu.
We asikuzingue, ni yeye tu!
Mi nna watoto 3.
Wawili nimejifungua kawaida , mmoja kwa operation.
Sijawahi kukaa huo muda .
Na hakuna madhara yoyote, aseme tu wana game boring!
We mkeo kabisa ukae miaka miwili unamwangalia tu kwamba ananyonyesha?
mxiiiiiiieee
 
Namaliza mwaka na miezi kadhaa bila sex kutoka kwa mke wangu, ujauzito ulipokaribia miezi 5 aliomba tuache kusex na akajifungua, Sasa mwaka umeisha tangu tuacha kusex

Mtoto ana mwaka na miezi kadhaa lakini wife anadai hatuwezi kusex kwa sababu atapata ujauzito mwingine nikamuuliza unaona tuanze kuanzia lini akasema bora mtoto afikishe miaka miwili
Nilipomwambia atumie uzazi wa mpango akadai unaharibu mwili na kusababisha magonjwa

Nilipomwambia tutumie kondomu anadai ana allergies na kondom na hawezi kutumia..
Najiuliza hivi nyie mlio katika ndoa hili swala huwa mnalifanyaje au mnasubiri miaka miwili kweli au mnatumia njia gani?

Muda mwingine nawaza kuwa na mchepuko lakini naona ni dhambi kumsaliti wife.

Ushauri wenu tafadhali
Kumbe wanaume wastaarabu bado wapo,Endelea na moyo hyo huo kaka usichoke
 
Back
Top Bottom