Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

Namaliza mwaka na miezi kadhaa bila sex kutoka kwa mke wangu, ujauzito ulipokaribia miezi 5 aliomba tuache kusex na akajifungua, Sasa mwaka umeisha tangu tuacha kusex

Mtoto ana mwaka na miezi kadhaa lakini wife anadai hatuwezi kusex kwa sababu atapata ujauzito mwingine nikamuuliza unaona tuanze kuanzia lini akasema bora mtoto afikishe miaka miwili
Nilipomwambia atumie uzazi wa mpango akadai unaharibu mwili na kusababisha magonjwa

Nilipomwambia tutumie kondomu anadai ana allergies na kondom na hawezi kutumia..
Najiuliza hivi nyie mlio katika ndoa hili swala huwa mnalifanyaje au mnasubiri miaka miwili kweli au mnatumia njia gani ?

Muda mwingine nawaza kuwa na mchepuko lakini naona ni dhambi kumsaliti wife

Ushauri wenu tafadhali
Miaka miwili bila sex na bado unamuita ni mke wako?

Kwa upande mwingine inakupa ahueni, chapa sana visichana vya nje chapa sana wala usisumbuke nae.
 
Ndoa ya kikristo hiyo au sio!!?

Cheti kinampa kiburi si ndio!!?

Hakuna aliewahi hukumiwa na Mungu Lisa mitara kama TU unatenda haki Kwa wote!!

Ndio maana yakobo mitara Hadi akazaa taifa takatifu la israel!!!

Oa tu mkuu!!
Anadai atapata ujauzito mwingine mtoto angali mdogo hapa tunafanyaje
 
Anadai atapata ujauzito mwingine mtoto angali mdogo hapa tunafanyaje
Moja ya njia ya kuzuia mimba kuingia ni kunyonyesha Kwa sana!!

Yaani akinyonyesha Sana bila wenge hapati mimba!!

Halafu kama mtoto ana zaidi ya mwaka na miezi minne au mitano akiapata so anazaa TU!!?

Kwani ye kazi yake ni nini hasa!!?
 
Mtoto ana mwaka na miezi kadhaa lakini wife anadai hatuwezi kusex kwa sababu atapata ujauzito mwingine nikamuuliza unaona tuanze kuanzia lini akasema bora mtoto afikishe miaka miwili
Nilipomwambia atumie uzazi
Nimpe hongera shemeji, kwa vigezo vya dini ya kikristo tendo la ndoa ni kwa ajili ya uzazi tu, huchapiwi kaka ,uwe na amani, 😆😆😆

NB:Ameathirika kisaikolojia, mpeleke kwa psychologist
 
Anadai atapata ujauzito mwingine mtoto angali mdogo hapa tunafanyaje
Kwani wewe huwezi kudhibiti mkeo asipate ujauzito bila yeye kutumia vidonge au sindano?. Masuali mengine allitakiwa aulize kijana wa miaka 18 sio wewe mwenye mke. Tatizo mnakimbilia ndoa huku akili zenu zikiwa bado hazikpevuka. Lamomy njoo umshauri mpwa wako huku maana nae anaonekana nikijana wa kanisani au msikitini maadili kama yote.
 
Back
Top Bottom