Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

Mimi nikuambie tu kuwa mkeo ana hofu ya kuzaa hasa baada ya kuona madhira ya leba.

Pili, mkeo amekuwa akisikiliza ushauri wa marafiki juu ya kuzaa haraka haraka, hivyo ana hofu ya kuharibu K yake na baadae kushindwa kuendelea kumpenda.

Tatu, mkeo haoni future tena na wewe, baada ya kupata mtoto anahisi alikosea kuolewa na wewe.

Nne, mkeo ni jeuri anafanya makusudi kukukomoa, yawezekana kuna kitu mlihitilafiana akiwa mjamzito.

Tano, mkeo siyo mtu wa mizagamuo, yani hapendi kufanya mapenzi sababu hana hisia za mapenzi pengine alifanya sana huko nyuma hivyo kwa sasa haoni ulazima au thamani yake.

Sita, sambamba na namba 5, kwa kulala na wanaume wengi kabla hujamuoa, ulipomuoa ameona uume wako na mapenzi yako mnapokuwa faragha siyo chochote, hivyo amepoteza hisia.


Kusema kwamba ana mchepuko, mimi kwa uzoefu wangu nasema hilo ni kwa % ndogo sana. Sababu muhimu ni hizo hapo juu. Labda km na yeye anapiga punyeto kwa kutumia midoli au ana sagana.

Kwa kweli kuna wanawake mashetani kwelikweli Yani mtu unamheshimu lakini anakubania kukupa utamu wakati ni MKE wa ndoa.

Ukiona bado ameshikilia msimamo wake, usimsemeshe Tena juu ya K yake, wewe tafuta MCHEPUKO na ikiwezekana muoneshe kwa hisia kuwa hata wewe humhitaji. Ikitokea amegundua kuwa una mchepuko hapo ndipo kesi yenu itakapokuwa tamu maana hata akienda kwao mkikaa kikao waeleze madhira yaliyokukuta hadi ukaamua kuchukua maamuzi magumu. Hapo ndo utamuuliza baba mkwe wako km yeye aliwahi kukaa miaka 2 bila kuzagamuana na bi mkubwa.

Pole sana kwani wanaume wengi hupitia hali km yako, muhimu ni kufanya maamuzi magumu, yani mchepuko ndo solution ya kukuondolea mawazo na hasira ulizo nazo. Maana najua hapo ulipo una hasira na mawazo makubwa juu ya huyu mkeo.

Pole sana.

Said: BANDOKITITA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…