Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

Dunia hii imejaa vituko sana hata huwezi kuamini, hivi na wewe unahesabu una mke!
 
Mwambie utamwaga njee,,πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mimi ni muumini wa kuoa, na kutengeneza familia imara, na nitaoa. Ilabnyuzi kama hizi huwa zinaturusha nyuma wakuu. Ni kweli mnataka ushauri ila kuna sisi wengine mnatuvunja mioyo. Tunaona huko kwenye ndoa kuna kuteseka tu.

Nasema kuteseka kwa sababu hio naiona drama kama drama tunazokutana nazo kwa vibinti vya kitaa. Kikiwa hakikutaki kinakua na visingizio vingi sana.

Huyo mkeo mkuu bila kupepesa macho kuna mtu anamla kama sivyo basi utakua na bahati ila jua kuwa umepoteza mvuto kwake. Yaan hahisi chochote kwako.

Pole sana mkuu.
 
No conjugal right, No marriage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…