Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

Jiandae na yajayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila mkuu Mwanaume hakosagi plan B, C na D.

Kuwa na mchepuko sio kosa, kwa mwanamke wa dizaini hiyo,Tena ikiwezekana mpandishe cheo
 
Naona kama vile huyo mtoto si wako hivyo anamlinda msimbemende mtoto.
Namaliza mwaka na miezi kadhaa bila sex kutoka kwa mke wangu, ujauzito ulipokaribia miezi 5 aliomba tuache kusex na akajifungua, Sasa mwaka umeisha tangu tuacha kusex

Mtoto ana mwaka na miezi kadhaa lakini wife anadai hatuwezi kusex kwa sababu atapata ujauzito mwingine nikamuuliza unaona tuanze kuanzia lini akasema bora mtoto afikishe miaka miwili
Nilipomwambia atumie uzazi wa mpango akadai unaharibu mwili na kusababisha magonjwa

Nilipomwambia tutumie kondomu anadai ana allergies na kondom na hawezi kutumia..
Najiuliza hivi nyie mlio katika ndoa hili swala huwa mnalifanyaje au mnasubiri miaka miwili kweli au mnatumia njia gani ?

Muda mwingine nawaza kuwa na mchepuko lakini naona ni dhambi kumsaliti wife

Ushauri wenu tafadhali
 
DNA zihusike hapo
 
Daah
Screenshot_20240303-232233_Instagram Lite.jpg
 
Back
Top Bottom