Unayesema tusiabudi MIZIMU hawa mnaoabudu nyie sio mizimu?

Unayesema tusiabudi MIZIMU hawa mnaoabudu nyie sio mizimu?

Mi naomba kuuliza tu kuwa, sio sehemu zote ndani ya Tanzania wanaabudu hao wazungu au waarabu, kuna sehemu nyingine hizo asili bado zipo na zimejaa tele, lakini mbona ukiangalia maisha na maendeleo yao bado ni duni sana...?

Au mlikuwa mnazungumzia kuabudu katika kuleta au kusaidiwa katika nyanja au fikra gani labda...?

Ningependa tu kujua kwa sababu mikanganyiko ni mingi kwa kweli.
Maendeleo yapi ni duni ?
 
Back
Top Bottom