Unayo akiba ya Tsh 150,000 kila mwezi na hutaki kufa Masikini, Kataa Ubinafsi, Soma Hapa

Unayo akiba ya Tsh 150,000 kila mwezi na hutaki kufa Masikini, Kataa Ubinafsi, Soma Hapa

- Ndugu yangu yaani unaonekana una TEMPER ya AJABU utafikiri ndio ushatapeliwa tayari, Wabongo bana !

Anyway taratibu ni:

1. Kufungua Akaunti ya pamoja yenye signatories kuanzia 10 au kulingana na utaratibu mzuri zaidi

2. Kufungua kampuni ( LIMITED Co. ) kwa mujijbu wa sheria zote JMT zilizopo !

3. Kuweka mfumo mzuri wa kuajiri watu wote muhimu kwenye uendeshaji wa kampuni kama MM, CEO, Technical Advisor n.k
Jamaa ameuliza swali la msingi sana, sijaona alipo temple, so hilo neno la kutempa liondoe kwanza.
 
Biashara ya watu 50 hata mngekuwa ndugu hilo ni ngumu kufanyika
CRDB inamilikiwa na watu wangapi ?

NMB je ?

Vipi kuhusu VodaCom ?

China kuna makampuni yana wamiliki hadi 500 unazungumzia watu 50 ??!

Yawezekana haiwezekani kwa [HASHTAG]#MtuMweusiTu[/HASHTAG]
 
Kwema Vijana Wenzangu ?

Unajua kuna wakati ni lazima tukubaliane na ukweli kuwa Vijana wa Tanzania tumetelelekezwa na viongozi wetu, na itakuwa ni jambo baya zaidi kama tutatelekezana wenyewe pia !

Mitaji yetu ni kiduchu, tutakuwa watumwa wa watu mpaka lini, tutakuwa machinga mpaka lini ??

Sasa kama na wewe umechoka kama mimi, nakushirikisha njia HALALI, RAHISI na ya KISASA ya kujikwamua KIMAISHA.

Wanahitajika "VIJANA 50 NET" walio COMMITED, SMART, FOCUSED, WAAMINIFU, HARDWORKER na WENYE SUBIRA !

Nini tutafanya:

Nimeshafanya "survey" kwa manufacturers wa bidhaa kadhaa China, India, Iran na kwingine nimeona ni namna gani biashara za [HASHTAG]#Wholesaling[/HASHTAG]" zina "ROI" nzuri

- Sisi tutakuwa tutafungua akaunti ya pamoja, tutaweka Tsh 150,000 kila mwezi kwa miezi 6 then baada ya hapo, tutazungumza na Manufacturers wa bidhaa tunazotaka, zikiletwa tunauza kwenye Retail Stores na Supermarkets

- Kwa lugha rahisi tutafanya [HASHTAG]#Marketing[/HASHTAG] na [HASHTAG]#BrandBuilding[/HASHTAG]

Taratibu zote za kisheria zitafuatwa. Kama una swali uliza:

WAZO ZURI ILA KUONEKANA SERIOUS ZAID NA FOR MORE CLARITY, WEKA HATA NAMBA HAPO YA SIMU NA EMAIL. THEN WILL WALK THE TALK! PIA NJOO INBOX ILI TUWEZE KUFIKIA CONSENSUS.
 
Jamaa ameuliza swali la msingi sana, sijaona alipo temple, so hilo neno la kutempa liondoe kwanza.
Mkuu hakuna faida yoyote mimi nitapata kwa kuorganise watu kwenye jambo la kheri kama hilo. Ni namna tu ya kujaribu kupambana na ndoto zetu kama vijana. Hili ni suala huru na SI LAZIMA.

- Sijamwambia mtu anitumie pesa yake kwenye akaunti yangu wala Tigo Pesa.

JUST FEEL FREE TO IGNORE THE THREAD !!
 
Hii kitu iko POA .. mfano kwa vijana hao 50 ,ukipiga hesabu Kama ya polepole kwa miezi 6 mtakuwa na Tshs 45,000,000/=

MFANO
Mkanunua bodaboda 20, halafu Kila siku hizo bodaboda kwa Kila moja inaleta tehs 15000/=, kwa mwezi tu zitakuwa zimeingiza Tshs 9,000,000/=

NB
Japo Kuna gharama nyinginezo pia. Na changamoto ni uaminifu,uvumilivu na uchu wa madaraka hasa kwa vijana wa kileo
 
WAZO ZURI ILA KUONEKANA SERIOUS ZAID NA FOR MORE CLARITY, WEKA HATA NAMBA HAPO YA SIMU NA EMAIL. THEN WILL WALK THE TALK! PIA NJOO INBOX ILI TUWEZE KUFIKIA CONSENSUS.
Nadhani hilo lingekuwa Next Stage, kama ikitokea watu wakaona inafaa then Mawasiliano yapo tu !
 
Hapo uwezekano wa mtu kupigwa ni mkubwa sana.

Hii basically ni some sort of Ponzi scheme.
 
Hapo uwezekano wa mtu kupigwa ni mkubwa sana.

Hii basically ni some sort of Ponzi scheme.
Ponzi scheme ikoje hapo Mkuu, Fafanua Mkuu ujue nakuheshimu sana ?

Hivi mkitaka kufungua duka la 3M mkatafutana watu 3, kila mtu akatoa 1M mkafungua duka. Hiyo ni PONZI SCHEME?
 
Fanya na ndugu zako mkitapeliana huko mtakutana hata kwenye misiba na sherehe.
 
Siyo wapemba tu, nchi za Ulaya, Marekani, China, India biashara hizi ni common.

Mimi huwa nashangaa kama wabongo wako sensitive sana na Utapeli kwanini huwa wanatapeliwa sana ?
Maisha yote Tapeli hutapeliwa...,Nimezungumzia Wapemba kwasababu nilitaka kutoa mfano wa hapa kwetu kwanza kabla hatujaenda mbali,kuna wengine hizo nchi ulizozitaja wanazisikia majina tu
 
Fanya na ndugu zako mkitapeliana huko mtakutana hata kwenye misiba na sherehe.
Ni kweli ngoja tusubiri lundo la wamiliki wa CRADB, VodaCom, NMB na wao WATAPELIANE !
 
Matapeli wa sasa wanajua kushawishi bana, wako smart na utapeli wao, sio wale wa zamani wananuka nuka tu

We've to be careful enough Wandugu na fursa hizi, ukiona fursa inakufuata miguuni kwenye ulimwengu hu wa science and technology ujue wewe ndo fursa. Ova
 
Ila ualimu ni kazi Ngumu sana !
 
umesema 150,000/= kila mtu kwa vijana 50 ndani ya miezi sita that means (150,000*50*6) hapo unapata 45,000,000/=.
Ni mtaji mkubwa sana huo kwa kuanzia biashara unless hiyo survey yako uwe umeifanyia kazi haswa kwamba product itakayo kuja haiwezi kufeli. otherwise its a good idea I might be in
 
vijana 50×150000× miezi 6,, = 45000000 milion ,,

bila shaka mtagawana 3, kila mmoja wenu 15 million alafu mnasepa ,duuh
 
Good idea ila members muandikiane kwamba hakuna mtu kutoa hela mpaka watu wote(wanahisa) mtie sign.
 
umesema 150,000/= kila mtu kwa vijana 50 ndani ya miezi sita that means (150,000*50*6) hapo unapata 45,000,000/=.
Ni mtaji mkubwa sana huo kwa kuanzia biashara unless hiyo survey yako uwe umeifanyia kazi haswa kwamba product itakayo kuja haiwezi kufeli. otherwise its a good idea I might be in
Bidhaa ninayoifikiria haiwezi kufeli, na kwa pesa hiyo tunaweza kabisa 20" FCL na Tukapata ROI Nzuri tu !
 
sounds well, na je kwenye hao vijana 50 mgao utakua sawa ama wewe founder unakua na mgao tofauti kidogo. na je process za kufungua company na bank account cost zake zinakua covered na hela hiyo hiyo ama?
 
Back
Top Bottom