Unayo ndoa lakini unatoka nje: justification

Pole mama ila mpeleke mzee LOLIONDO kabla hamjachelewa mambo yatakuwa saafi
 
Huoni hapo atakuwa anamuumiza mumewe? atamwambiaje anahitaji penetration wakati mume uwezo huo anao, atakuwa anamuabuse emotional

Hapa mkuu ila pia itategemea ana represent vipi shida yake. Kwanza anatakiwa aanze kwa kuchezea mchipa then after hapo ndio anaweza kuwakilisha shida yake. mimi nadhani akimwambia lazima solution itapatikana kama vile ya kutafuta toys etc kama mumewe ansubutu kumridhisha without penetration, je hiyo ndio atashindwa?
 
ukitoka nje ya ndoa, uyo jamaa Mungu atakuja msaidia siku moja, atapona na kitu kitakuwa mwake, mkuki kwa nguruwe, yatakurudia wewe, utapata gonjwa la ajabu ajabu litakalokula sambusa yote, hutakuwa na uwezo hata kutamani hiyo penetration,...jamaa sasa ataamua kuoa mke mwingine kabisa na wewe utabaki nung'ayembe, kwasababu unashindwa kumvumilia mme wako katika shida na raha...kama unataka penetration, si umwambie atumie vidole, tene vidole viwili tu ivyo vya kati akupie juu juu apo kwenye G-spot uta squirt kabisa...tatizo lako wewe ni roho ya uzinzi na wala si penetration. mwambie bwanako apige kwa vidole, au nunua artificial mpe akutumie...kuokoa ndoa yako.
 
Hapa mkuu ila pia itategemea ana represent vipi shida yake. Kwanza anatakiwa aanze kwa kuchezea mchipa then after hapo ndio anaweza kuwakilisha shida yake. mimi nadhani akimwambia lazima solution itapatikana kama vile ya kutafuta toys etc kama mumewe ansubutu kumridhisha without penetration, je hiyo ndio atashindwa?

Hivi mume mwanajeshi unamvalishaje toy tehetehe,joke. prime dynamics inategemea mwanaume mwenyewe mwingine umpe tiy anawez ku give up lile dude inataka moyo ati
 
Gaga kumbuka siku zote,
asiyekuwa na shida hamtafuti tabibu ati!!!!!!!!!!!!!
 
ndugu zangu, nina hili suala ambalo linanitatiza sana, naomba ushauri wenu wa dhati.
Mimi ni mama (48yrs old), nimeolewa nina watoto watatu (22, 18, 16 yrs), naipenda familia yangu, zaidi sana nampenda mume na baba watoto wangu, na maisha yetu kwa kweli ukiacha tatizo hili, tuko murua kabisaa. Shida tuna tatizo hili; miaka ya hivi karibuni baba watoto "jogoo wake amekuwa hawikii" kabisa kutokana ugonjwa wa kisukari na matibabu yake. Na mimi mara kwa mara nimekuwa na wazo la kutafuta kijana wa nje kwa ajili ya mahusiano ya kimapenzi (tendo la ndoa) kwa sababu physically bado ninahitaji. Sasa ndugu zangu naomba mnishauri (nafahamu ya kuwa imani ya dini inakataza) ila uhitaji unanizidi hadi nashindwa kufanya kazi zangu vyema. Sasa naomba mawazo, je itakuwa vibaya (kijamii) kama nikitoka nje na kwa siri? Kama hapana nifanyeje kutatua tatizo hili?
Nb: Kitu nacho miss naona ni ile penetration, kwani style nyinginezo tunazitumia na huwa ananifikisha kileleni
(moderator sina uhakika hii post kama hapa ni pahali pake, please advice kama sio)

jibu la matatizo yapo yote yapo loliondo kwa babu - tangulizeni mungu mbele anzeni safari ya loliondo fasta. Miaka 48 bado una tamaa na vijana wadogo kama wanao, ungalia usije ukaiteketeza famila yako na wewe mwenyewe ukaishia shimo la TEWA - ushauri ndiyo huo.
 
ndugu zangu, nina hili suala ambalo linanitatiza sana, naomba ushauri wenu wa dhati.
mimi ni mama (48yrs old), nimeolewa nina watoto watatu (22, 18, 16 yrs), naipenda familia yangu, zaidi sana nampenda mume na baba watoto wangu, na maisha yetu kwa kweli ukiacha tatizo hili, tuko murua kabisaa. shida tuna tatizo hili; miaka ya hivi karibuni baba watoto "jogoo wake amekuwa hawikii" kabisa kutokana ugonjwa wa kisukari na matibabu yake. na mimi mara kwa mara nimekuwa na wazo la kutafuta kijana wa nje kwa ajili ya mahusiano ya kimapenzi (tendo la ndoa) kwa sababu physically bado ninahitaji. sasa ndugu zangu naomba mnishauri (nafahamu ya kuwa imani ya dini inakataza) ila uhitaji unanizidi hadi nashindwa kufanya kazi zangu vyema. sasa naomba mawazo, je itakuwa vibaya (kijamii) kama nikitoka nje na kwa siri? kama hapana nifanyeje kutatua tatizo hili?
NB: kitu nacho miss naona ni ile penetration, kwani style nyinginezo tunazitumia na huwa ananifikisha kileleni

Njoo kwangu upate kitu roho yako inataka. nasubiri pm yako.
 
mimi nipo tayari kukfurahisha wewe ni PM tuu tumalizane
 
Pole sana mama au dada..
Ni kweli hayo unayoyasema. Ningependa nikushauri ukumbuke kiapo cha 'NDOA' yako. Shida na taabu ndio kama hizo. Mungu ni mwaminifu kama utajisogeza kwake zaidi. Hebu fikiria aibu mbele ya watoto wako na jamii yako inayokuzunguka pale utakapokosea, magonjwa pia ( dunia haina siri).

Uwe mvumilivu tu, umetoka naye mbali..lakini kama huko nyuma uliwahi kuibia nje hiyo ni topic nyingine!
Mie nafikiri hizo njia mnazotumia muendelee nazo..
 
mamangu kabla sijakushauri labda nikuulize, endapo tatizo lingekuwa kwako na mwenzio anataka kutoka nje ya ndoa kwa vile wewe una tatizo ungejisikiaje? ni kweli mumeo amepatwa na tatizo ambalo sio man made bali ni kitu kilicho nje ya uwezo wake, kwa nini usivumilie tu? nafikiri mmepitia hatua nyingi na zenye mafanikio katika mapenzi na ndoa yenu mpaka mkapata watoto, sas bado unahitaji kitu gani kutoka kwa mungu? msaidie mumeo kwa kuwa naye karibu wakati huu wa magumu yanayomsibu.uzinzi ni dhambi itakayoleta mauti ndani ya nyumba yako, hivyo jiepushe kwa kumwomba mungu na kuwa karibu na familia
 
sawa, hii message nimeamua kuituma katika kutafakari what is best for my marriage and also best for me.

Umri wa miaka 48 lazima utakuwa ndio unakoma hedhi (menopause) au umeshakoma hedhi (post-menopause), ni kipindi ambacho wanawake weengi huwa wanapata ashki (kumradhi '******') za mara kwa mara, na wakati mwingine kali sana kiasi wengi wao wanaweza ishia fanya mambo ya kipuuzi sana. Katika miaka hiyo pia mwanaume uwezo wake kingono (nguvu za kiume) unaanza kupungua, na hali ni mbaya zaidi kwa wanaume wenye matatizo ya kisukari kwa muda mrefu! Ndio maana kina mama wengi sana around umri huo hutafuta 'serengeti boys' hata kama waume/wenzi wao hawana kisukari.

Kwa hiyo kuwa na tatizo hilo la kutamani 'penetration' ni kitu cha kawaida (NB: raha ya ngono si kufika kileleni tu, nje-ndani zina raha yake bila hata kufikia mshindo), ila 'what you gonna do about it' kwa mwanamke wa umri wako na aliyeolewa ndio tatizo. Kama unaamini dini yako na unamuheshimu mumeo na ndoa yako basi vumilia, au ongea na mumeo aridhie we kutoka nje, au mtumie 'sex toys a.k.a dildo'. Lakini kama hujali, waweza tii kiu yako na kutafuta kitulizo cha siri! Umri wako na expirience yako katika ndoa na mahusiano inakutosha kupata suluhisho amabalo ni best for you and your marriage...or atleast best for you!

N
 
mamangu kabla sijakushauri labda nikuulize, endapo tatizo lingekuwa kwako na mwenzio anataka kutoka nje ya ndoa kwa vile wewe una tatizo ungejisikiaje? ni kweli mumeo amepatwa na tatizo ambalo sio man made bali ni kitu kilicho nje ya uwezo wake, kwa nini usivumilie tu? nafikiri mmepitia hatua nyingi na zenye mafanikio katika mapenzi na ndoa yenu mpaka mkapata watoto, sas bado unahitaji kitu gani kutoka kwa mungu? msaidie mumeo kwa kuwa naye karibu wakati huu wa magumu yanayomsibu.uzinzi ni dhambi itakayoleta mauti ndani ya nyumba yako, hivyo jiepushe kwa kumwomba mungu na kuwa karibu na familia

tatizo hili huwezi kulifananisha kwa upande wa wanawake, kwani wapo ambao wako frigid, lakini wanaendelea kutekeleza agizo lao la ndoa. ndio hivyo namejaribu kuvumilia na kuwa katika maombi karibu miaka mitano sasa, lakini kuna wakati nakwazika vibaya sana, haswa pale nipatapo attention from the opposite sex. nitaletaje mauti katika nyumba kama nitajikinga wakati wote wa mahusiano?
 
hii inaonyesha wewe na mume wako you have never talked of your feelings. hapo mama unatafuta conflict which will cost you for the remaining portion of your life. Jamani tatizo hapo ni "communication kati yenu wawili". mimi nadhani wakati uko na mume wako kitandani na baada ya wewe kifika kileleni kama ulivyo eleza hapo juu. huo ndio wakati wa kusema matatizo yako then you may get to consensus. Sasa wewe kama unakufa pole pole na shida yako na huja mweleza mwenzio kosa la nani hapo? speak out your mind and get a better solution. Hivi utajisikiaje au utakua mgeni wa nani mtoto wako wa kike akufumanie na boyfriend wake? Je utamuomba msamaha? au tajishitaki kwa mume wako?

naona kama vile yeye ndiye aliyepaswa kuanzisha maongezi hayo kwa kutaka ushauri wangu kuwa sasa tufanyeje hali ndio kama hivi. inakuwa ngumu kama yeye suala hili analifumbia macho. unajua wanaume wetu wa kiafrika wengi hawapendi intimate discussion za mapenzi namna hii na wake zao. kama mke huwa najituma lakini sijaona nafasi ya kuleta mazungumzo ya aina hii
 
Hapa mkuu ila pia itategemea ana represent vipi shida yake. Kwanza anatakiwa aanze kwa kuchezea mchipa then after hapo ndio anaweza kuwakilisha shida yake. mimi nadhani akimwambia lazima solution itapatikana kama vile ya kutafuta toys etc kama mumewe ansubutu kumridhisha without penetration, je hiyo ndio atashindwa?

sasa atakapoenda kununua hiyo toy (hivi kwanza hapa dar hili duka lipo?) si ndio atakuwa kabisa anapiga chapa kuwa "jogoo hawiki" hadi sasa hili tatizo kwake kama vile lipo lakini halipo, amelifumbia macho
 
jibu la matatizo yapo yote yapo loliondo kwa babu - tangulizeni mungu mbele anzeni safari ya loliondo fasta. Miaka 48 bado una tamaa na vijana wadogo kama wanao, ungalia usije ukaiteketeza famila yako na wewe mwenyewe ukaishia shimo la TEWA - ushauri ndiyo huo.

hivi babu wa loliondo anatibu pia erectile dysfunctions? kama ni kisukari chake anatumia dawa, kucontrol
 
Dah!! Tutavumiliana ktk shida na Raha, sijui ugonjwa na kifo, sijui msiba na kicheko.
Haya maneno haya, mmmmmmmmmmmh.
 
Sasa kumbe umeshaamua unataka kutoka...maswali ya nini?Hapa hutopata huo uhalalisho unaohitaji...kama unataka kuonyesha dhahiri kiapo chako ulichoapa siku ya ndoa kilikua cha uongo go ahead and do it kama nafsi yako inakuruhusu!
 
Dah!! Tutavumiliana ktk shida na Raha, sijui ugonjwa na kifo, sijui msiba na kicheko.
Haya maneno haya, mmmmmmmmmmmh.

Wanamaanisha basii au ilimradi wasikiki wakisema naahidi!
 
ndugu zangu, nina hili suala ambalo linanitatiza sana, naomba ushauri wenu wa dhati.
mimi ni mama (48yrs old), nimeolewa nina watoto watatu (22, 18, 16 yrs), naipenda familia yangu, zaidi sana nampenda mume na baba watoto wangu, na maisha yetu kwa kweli ukiacha tatizo hili, tuko murua kabisaa. shida tuna tatizo hili; miaka ya hivi karibuni baba watoto "jogoo wake amekuwa hawikii" kabisa kutokana ugonjwa wa kisukari na matibabu yake. na mimi mara kwa mara nimekuwa na wazo la kutafuta kijana wa nje kwa ajili ya mahusiano ya kimapenzi (tendo la ndoa) kwa sababu physically bado ninahitaji. sasa ndugu zangu naomba mnishauri (nafahamu ya kuwa imani ya dini inakataza) ila uhitaji unanizidi hadi nashindwa kufanya kazi zangu vyema. sasa naomba mawazo, je itakuwa vibaya (kijamii) kama nikitoka nje na kwa siri? kama hapana nifanyeje kutatua tatizo hili?
NB: kitu nacho miss naona ni ile penetration, kwani style nyinginezo tunazitumia na huwa ananifikisha kileleni
(moderator sina uhakika hii post kama hapa ni pahali pake, please advice kama sio)

pepo huyo anakusmbua utafute kijana wa nini? imagne ungekuwa wewe ndio umevunjika kiuno ye ana idea ka hyo ingekuaje? hebu mpereke kwa babu haraka uje pata vitu adim toka kwake
 
Back
Top Bottom