Tormenter
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 427
- 808
Kwa sababu ya umaskini, kuna watu walizika imani zao toka moyoni..
Kwa sababu ya hali duni ya maisha, wapo waliokimbiia familia zinazowahitaji..
Kwa sababu ya upofu wa fikra, wapo waliotoa kafara, wazazi waliowazaa..
Kwa sababu ya ubinafsi, wapo wanaojiona wao ndio wanastahili vyote..
Kwa sababu ya tamaa, wapo waliodhalilika vibaya hadi aibu..
Kwa sababu ya kutotafuta vyao, wapo watakaosimangwa, hadi kesho itapokuwa milele..
Kwa sababu ya utovu wa nidhamu, wapo waliokosa michongo, iliyohitaji watu wa aina yao..
Kwa sababu ya kuacha kushukuru, wapo walionyimwa, bila kufikiriwa mara mbili..
Kwa sababu ya chochote, hakikisha unabaki kuwa yule anaejithamini..
Mmonaga kundungu. Kumeyo mwanja