Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,236
- 1,411
Hahahahhah
dahhh kipindi cha barua kilikuwa
na raha yake dear.... sanasana zile
za shule ya msingi mnapeana
chini ya dawati....
dahhh unanikumbusha mbaliiiii
Hahahahhah
dahhh kipindi cha barua kilikuwa
na raha yake dear.... sanasana zile
za shule ya msingi mnapeana
chini ya dawati....
dahhh unanikumbusha mbaliiiii
Hahaaaaa, umenifanya nichangie fasta hii thread maana juzi nilikua nawafundisha wanafunzi wangu mahali fulani nikawaambia kuwa hawajui kuandika essay kwasababu wao siku hizi wanategemea sms ambazo zimefupishwa kiasi kwamba huwezi jua hata maana yake. Enzi hizo nipo pale Magamba Boys now ( SeKUCo- Sebastian Kolowa University College-Lushoto) ndio nilikua nafanya dili za kuwaandikia washkaji barua halafu wananilipa....serious nilikua bingwa wa kuandika hizo barua hasa kwa lugha ya kigeni maana zilikua zinaenda Mazinde Juu ( St.Mary's) au Kifungilo Girls' ambako ndio by then kulikua na watoto wakali kinoma na ngeli inapanda sana, sasa ukiaka uwapate lazima uandike barua kwa kiingereza.
Nilikua naenda kununua karatasi maalum za kuandikia barua za mapenzi halafu nawauzia jamaa, kisha kama nitaandika Mimi hio barua inabidi uongeze dau! Ndio maisha yangu yalivyokuwa, huwezi kwenda kununua kadi bila kupata ushauri wangu.....next time nitawaeleza kisa nilichokifanya kwa mshkaji aliekua anataka nikamnunulie Card amtumie Demu wake pale Mazinde Juu.
Barua zilisaidia sana kuweza kuandika essay zenye maana na kanuni za uandishi zilizingatiwa......Umenikumbusha mbali saaaaana
Barua za mapenzi zilikuwa nzuri na za kusisimua zaidi kuliko meseji za simu, kwa sababu.Leo kuna njia mbalimbali za kuwasiliana ila kile kipindi tunaandikiana mabarua ",....kwako wewe uliyembali sijui na upeo wangu..,,.....," dhumuni la barua hii......"jamani barua (sio kadi) zimepoteza mvuto??? au ndo kwenda na wakati!
Barua za mapenzi zilikuwa nzuri na za kusisimua zaidi kuliko meseji za simu, kwa sababu.
SIMU HAZINA UTAMU
- Mtu alikuwa anaandika kitu alichokibuni kutoka moyoni
- Barua ilikuwa na michoro ya kusisimua yenye ishara za mapenzi
- Barua ilikuwa ndefu haaishi hamu
- Wakati mwingine ilikuwa na nyongeza ya mashairi au nyimbo za wakati ule ambazo zilikuwa zinasisimua sana sio hizi za sasa eti demu wangu, demu wangu sijui kachakachuliwa aaah!
- Mapenzi yake ni ya kompyuta yaani mtandao unatengeneza meseji za mapenzi wewe unatuma tu.
- Ujumbe wake ni mfupi sana na hauingii moyoni
- Ubunifu wa maneno matamu ya mapenzi unakuwa mdogo kwa sababu yanakuwa mafupi mno.
- Watu hawabuni kutoka moyoni ndio maana meseji ya aina moja unaweza kutumiwa na watu kumi tofauti Natamani zama za barua zirudi tena.
Dah! umenikumbusha mbali mpaka nacheka yuko rafiki yangu mmoja kwa sasa yuko mjengoni. Tukiwa primary yake ilikamatwa na kusoma kwenye paredi. Sehemu ya maneno ilisomeka hivi " Nakupenda sana vick miguu yako mizuri kama cherehani...." Mwalimu akawauliza hivi ninyi wasichana munaambiwa miguu kama cherehani bado munafurahia? Shule mzima iliangua kicheko. Ilikuwa ni gumzo siku inayokamatwa barua ya mapenzi, lazima isomwe kwenye paredi.
- Mapenzi yake ni ya kompyuta yaani mtandao unatengeneza meseji za mapenzi wewe unatuma tu.
- Ujumbe wake ni mfupi sana na hauingii moyoni
- Ubunifu wa maneno matamu ya mapenzi unakuwa mdogo kwa sababu yanakuwa mafupi mno.
- Watu hawabuni kutoka moyoni ndio maana meseji ya aina moja unaweza kutumiwa na watu kumi tofauti Natamani zama za barua zirudi tena.
- Halafu unajua tu kuwa hizi ni kamba za mtandao
Mimi mimi unaenijua....lizzy ndo uyo ninae kufaham au mwingne? maana kwa umri wako cdhani kama umeandika hizi barua! maana umekulia kwenye simu. au?
Sikubaliani na wewe kwa jinsi ulivyoanisha kwamba kwa text huwezi kubuni/jaza hisia kama ilivyo kwa barua.Binafsi hua naandika text/email ndefu mpaka nashangaa na sio copy n paste mind you.We sema siku hizi watu ubunifu haupo kiwango...hata ingekua lwa barua bado tu wangeandika mistari kadhaa au mingi isiyotoka moyoni(yakuambiwa).Kwahiyo tatizo hapa sio njia ya mawasiliano bali ni watu wanavyowasiliana!!!