Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinaa huleta uharibifu wa jamii, zinaa huleta ufukara kwa mtu hata akiwa tajiri mzinifu maisha yake huwa ya hofu na wasiwasi tu, zinaa huleta umasikini wa watu na kipato n.k ndiyo maana adhabu ya mzinifu ni kifo au bakora kali tu.
mmmh hapa hamna mtanzania atakayepona na hiyo adhabu maana kama kuna mtu ajazini TZ ni mmoja kwa milioni 1Zinaa huleta uharibifu wa jamii, zinaa huleta ufukara kwa mtu hata akiwa tajiri mzinifu maisha yake huwa ya hofu na wasiwasi tu, zinaa huleta umasikini wa watu na kipato n.k ndiyo maana adhabu ya mzinifu ni kifo au bakora kali tu.