Unazini ili??

Unazini ili??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Embu nipe expirience yako kabla ya kuja...kwako jamani tusaidiane kwa hili kulinda uhai wa watanzania wenzetu wengi wanaokufa na kutuachia yatima wasioa na idadi si hivyo wale wanaotesa ndoa zao suluhusho laweza patikana leo...uachane na uzinzi
 
Zinaa huleta uharibifu wa jamii, zinaa huleta ufukara kwa mtu hata akiwa tajiri mzinifu maisha yake huwa ya hofu na wasiwasi tu, zinaa huleta umasikini wa watu na kipato n.k ndiyo maana adhabu ya mzinifu ni kifo au bakora kali tu.
 
fafanua, kwa maoni yako kuzini ni nini?
 
Zinaa huleta uharibifu wa jamii, zinaa huleta ufukara kwa mtu hata akiwa tajiri mzinifu maisha yake huwa ya hofu na wasiwasi tu, zinaa huleta umasikini wa watu na kipato n.k ndiyo maana adhabu ya mzinifu ni kifo au bakora kali tu.
mmmh hapa hamna mtanzania atakayepona na hiyo adhabu maana kama kuna mtu ajazini TZ ni mmoja kwa milioni 1
 
Back
Top Bottom