Unazungumziaje ngoma mpya ya simba

Unazungumziaje ngoma mpya ya simba

Takeu style imerud tena
Mlio karibu na Diamond platinum mshaurini kama upeo wake umefika mwisho kwenye kutunga mashairi atafute watu wenye idea mpya wamwandikie yeye abaki kuimba tu.
 
Hawezi kushindana na harmonize kwakweli kwa utunzi huo bora kayumba
 
Usiku nilipita YouTube nikaiona yaani nyimbo ina dk 2:42 lakini sikuzimaliza haovyo kabisa yaani unajua hovyo!!

Sikupata neno hata moja yaani kaimba kitu gani kile!!
 
Diamond kakariri kwamba mashabiki wa sasa wanataka nyimbo za kuchezeka sawa hatukatai lakini sasa ziwe za kueleweka jamani mbona Kina Davido na Wizkid wamestick kwenye namna yao ileile ya uimbaji???...ukisikiliza Wizkid Essence na huu utopolo ndio utaona tofauti kati ya mchele na chuya..Mtu Yupo chini Warner Music basi imba nyimbo ambazo hata hao Warner hawatosita kukupromote kwenye billboards HUTAKI napata picha kwanini alivunja mkataba wake na Universal mwenyewe akauita wa kinyonyaji wakati zaidi ya asilimia 75 ya wasanii Marekani wapo chini ya Universal huenda kuwa Universal walivunja mkataba na yeye baada ya kuona hana ishu ukweli ni kwamba tangu 2019 Diamond platinumz anatoa nyimbo nyepesi mno ambazo hawezi kutumia kama CV kuomba collabo kwa watu kama Kina Wiz khalifa anaopiga nao picha,Drake,Ty Dolla sign na wengjneo kama wenzio kina Wizkid wanavyofanya..Wizkid sasahivi amekuwa ni lulu wasanii wakubwa kina Justin Bieber,Kranium n.k wanaomba wenyewe washirikishwe kwenye nyimbo zake
 
Naona mond ameanza kutarget soko la watoto, kuna kitu kwenye ngoma za mond naona toka harmo atoke wcb utunzi wa mond nao umebadilika au ana target grammy kwa nyimbo za aina hiyo
 
Back
Top Bottom