Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wasanii wa kufukuzwa pale WCB ni Lava Lava na Diamond..!
Unaijua ng'ari ng'ari.?Wasanii wa kufukuzwa pale WCB ni Lava Lava na Diamond..!
Ngoja kwanza nioneshe unachezaje weweeee kwani unachezajeUsiku nilipita YouTube nikaiona yaani nyimbo ina dk 2:42 lakini sikuzimaliza haovyo kabisa yaani unajua hovyo!!
Sikupata neno hata moja yaani kaimba kitu gani kile!!
Wananikataa machoni wananikubari roho niUkitaka kuona uzuri wa hyo nyimbo.nenda club,au beach.
Kama jangwani seabreeze n.k
Mond Ana mashabiki wake.kizazi Cha teacher
Ila amewakamata kwelikweliNaona mond ameanza kutarget soko la watoto, kuna kitu kwenye ngoma za mond naona toka harmo atoke wcb utunzi wa mond nao umebadilika au ana target grammy kwa nyimbo za aina hiyo
Vijana tuliofika 30+ hatuwezi kumuelewa mond.Wananikataa machoni wananikubari roho ni
Hawa ndio watz wenzangu
Mjumbaaa huoo.......
Mjumbaaa huooo......[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Ni kweli mkuu ila kuna wale bendera fuata upepo ukienda gheto kwake play list yake ni mond tu ila kitaa anajifanya hana timeVijana tuliofika 30+ hatuwezi kumuelewa mond.
Hata Mimi simuelewi.
HaKuNA kituUnaijua ng'ari ng'ari.?
Lava lava NI habari nyingine View attachment 2046151
Sio kweli.dogo anaimba Sana sema nyota Hana.HaKuNA kitu
Daaaa nimecheka aiseeWasanii wa kufukuzwa pale WCB ni Lava Lava na Diamond..!
AnAimba ndio utunzi wa kawaida sanaSio kweli.dogo anaimba Sana sema nyota Hana.
Sikiliza kwa makini
....Daaaa nimecheka aisee