Unazungumziaje ngoma mpya ya simba

Unazungumziaje ngoma mpya ya simba

Wasanii wa kufukuzwa pale WCB ni Lava Lava na Diamond..!
Unaijua ng'ari ng'ari.?
Lava lava NI habari nyingine
Screenshot_20211216-152411.jpg
 
Ukitaka kuona uzuri wa hyo nyimbo.nenda club,au beach.
Kama jangwani seabreeze n.k
Mond Ana mashabiki wake.kizazi Cha teacher
 
Usiku nilipita YouTube nikaiona yaani nyimbo ina dk 2:42 lakini sikuzimaliza haovyo kabisa yaani unajua hovyo!!

Sikupata neno hata moja yaani kaimba kitu gani kile!!
Ngoja kwanza nioneshe unachezaje weweeee kwani unachezaje

Pyiii tiiii mjumba huo.......
Mjumbaaa huoo.......

Bonge la pini la kufungia mwaka watu wa club ndio nyimbo zenu hizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka kuona uzuri wa hyo nyimbo.nenda club,au beach.
Kama jangwani seabreeze n.k
Mond Ana mashabiki wake.kizazi Cha teacher
Wananikataa machoni wananikubari roho ni
Hawa ndio watz wenzangu

Mjumbaaa huoo.......
Mjumbaaa huooo......[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom