sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
"Dah aisee hii gari mbona bei rahisi sana, yani kuna siku ntaliagiza" ni kauli moja wapo ya watu wanaopenda kuperuzi mitandao ya kuagizia magari ila hawana pesa.
unazungumziaje hili
Hata kuangalia Ferari, Rolls Royce etc kuna shida gani? Hujui binadamu unatakiwa kuwa aware na mambo yote yanayokuzunguka na yanatokea duniani? Infact maisha ni knowledge na knowledge hupatikana kwa kujua mazingira yako.Mkuu ili kupata kitu lazima ujue bei kwanza na uwe na update zote.Ndio maana tunajua bei ya Toyota na crown maana tunajua oneday ,yes.
Ila shida ni pale tunaenda kuangalia maLamborghin,Ferari,na magari mengine ya akina Floyd Maywether na Ronaldo ya mabilion.
Sent using Jamii Forums mobile app
Big up for this idea.Kabla ya kuwa na hela niliingia AliExpress kuangalia hiki na kile Mara nikaona simu moja Safi kabisa, kwanza ilikuwa nzuri kimwonekano wake pili ukubwa wa RAM & INTERNAL STORAGE.
Nilishawishika Sana na nilihakikisha natafuta pesa kwa nguvu na Nia moja tu, kuinunua simu Ile, nashukuru Mungu nilifanikiwa kupata pesa na nikaiununua simu na ndo naitumia kuandikia ujumbe huu.
Kwahiyo baada ya kuona nilihamasika, nikatafuta pesa, nikanunua hivyo Basi kupita mitandaoni na kuangalia magari bila kuwa na pesa ni sahihi tu kwani Kuna wengine watahamasika na ipo siku watanunua.
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app