Kabla ya kuwa na hela niliingia AliExpress kuangalia hiki na kile Mara nikaona simu moja Safi kabisa, kwanza ilikuwa nzuri kimwonekano wake pili ukubwa wa RAM & INTERNAL STORAGE.
Nilishawishika Sana na nilihakikisha natafuta pesa kwa nguvu na Nia moja tu, kuinunua simu Ile, nashukuru Mungu nilifanikiwa kupata pesa na nikaiununua simu na ndo naitumia kuandikia ujumbe huu.
Kwahiyo baada ya kuona nilihamasika, nikatafuta pesa, nikanunua hivyo Basi kupita mitandaoni na kuangalia magari bila kuwa na pesa ni sahihi tu kwani Kuna wengine watahamasika na ipo siku watanunua.
Ahsante.
Sent using
Jamii Forums mobile app