Unazungumziaje tabia ya kuperuzi mitandao ya kuagiza magari wakati mtu hana pesa?

Unazungumziaje tabia ya kuperuzi mitandao ya kuagiza magari wakati mtu hana pesa?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
"Dah aisee hii gari mbona bei rahisi sana, yani kuna siku ntaliagiza" ni kauli moja wapo ya watu wanaopenda kuperuzi mitandao ya kuagizia magari ila hawana pesa.

unazungumziaje hili
 
"Dah aisee hii gari mbona bei rahisi sana, yani kuna siku ntaliagiza" ni kauli moja wapo ya watu wanaopenda kuperuzi mitandao ya kuagizia magari ila hawana pesa.

unazungumziaje hili

Hiyo tabia ni chafu na huwa wanatujazia Server, hivyo bas waache maramoja.
 
Kabla ya kuwa na hela niliingia AliExpress kuangalia hiki na kile Mara nikaona simu moja Safi kabisa, kwanza ilikuwa nzuri kimwonekano wake pili ukubwa wa RAM & INTERNAL STORAGE.

Nilishawishika Sana na nilihakikisha natafuta pesa kwa nguvu na Nia moja tu, kuinunua simu Ile, nashukuru Mungu nilifanikiwa kupata pesa na nikaiununua simu na ndo naitumia kuandikia ujumbe huu.

Kwahiyo baada ya kuona nilihamasika, nikatafuta pesa, nikanunua hivyo Basi kupita mitandaoni na kuangalia magari bila kuwa na pesa ni sahihi tu kwani Kuna wengine watahamasika na ipo siku watanunua.

Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ili kupata kitu lazima ujue bei kwanza na uwe na update zote.Ndio maana tunajua bei ya Toyota na crown maana tunajua oneday ,yes.
Ila shida ni pale tunaenda kuangalia maLamborghin,Ferari,na magari mengine ya akina Floyd Maywether na Ronaldo ya mabilion.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kuangalia Ferari, Rolls Royce etc kuna shida gani? Hujui binadamu unatakiwa kuwa aware na mambo yote yanayokuzunguka na yanatokea duniani? Infact maisha ni knowledge na knowledge hupatikana kwa kujua mazingira yako.
 
tunaamini one day yes.., inatusaidia kuweka mipango na kuongeza Kasi ya mapambano,,,sina gari Ila Kwa siku naperuzi page za Magari used ndani na nje Zaid ya mara 5,,,, my target ,, ntaanza kununua used ndani gx 100 zina range ya 3.5 M,, nikivua hapo nahamia Kwa Subaru forester 13M na nikizeeka nahimia Kwa VW Tourin( hapa sina hakika kama ndo jina halis) almost 25M, ingawa Kuna hisia zinanituma Kwa harrier new model a.k.a matako ya nyani 25M .. Ila baby walker sipendi Bora niendelee kumiliki Boxa yangu BMW 150,,,,,hahaha nakaribisha USHAURI NB najua Ku drive vizur na nagongea haswaaa
 
Kabla ya kuwa na hela niliingia AliExpress kuangalia hiki na kile Mara nikaona simu moja Safi kabisa, kwanza ilikuwa nzuri kimwonekano wake pili ukubwa wa RAM & INTERNAL STORAGE.

Nilishawishika Sana na nilihakikisha natafuta pesa kwa nguvu na Nia moja tu, kuinunua simu Ile, nashukuru Mungu nilifanikiwa kupata pesa na nikaiununua simu na ndo naitumia kuandikia ujumbe huu.

Kwahiyo baada ya kuona nilihamasika, nikatafuta pesa, nikanunua hivyo Basi kupita mitandaoni na kuangalia magari bila kuwa na pesa ni sahihi tu kwani Kuna wengine watahamasika na ipo siku watanunua.

Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Big up for this idea.

Hua nafanya hivyo mara nying pia
 
Usitudharau tusio na magari, tunataka tuyajue kabla. Maana tunaamini one day Yes.
Kumbuka hakuna aliyetoka nalo tumboni, tena wengine walikuwa mafukara zaidi.

"Dharau makaburi au dharau maiti ila mtu anayetembea ni fumbo kubwa".

In Butati's voice.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa tu nakupiga shule ilihali hujui mwisho wa siku utapata kazi gani. Mungu saidia unaweza ajiriwa kweli ikawa full bata na inaposhindikana unajiajiri na maisha yasonga kama kawaida.
Tusiwe waoga kesho yetu utakuwaje?
Hope you understand.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom