Kuwa na akili mkuu. Hebu fuatikia vizuri maana ya neno rekodi na aina zakeRIVERS UTD, AL HILAL OMDOURMAN hizo timu ziliwafunga mkiwa ndani ya msimu husika wa ligi. Ajabu hizo mechi ni kama hamzitambui
lakini CAF hawaipost 😂😂😂Yanga ni timu hata UN wanaifahamu.
Hio ndio ilikuwa nia yangu...inaitwa fasihi ya kejeli hiyoKwa akili hizi za kuzingatia vitu vidogo na kupuuza mustakabali wa maisha yako, utaendelea kubaki masikini mpaka matako yatalia mbwata
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Ni upungufu wa maarifa kujisifu kuwa una rekodi bora ndani, wakati huo huo ukienda nje unapakatwa .Kuwa na akili mkuu. Hebu fuatikia vizuri maana ya neno rekodi na aina zake
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Ndo tunakoelekea..!!Fuatilia unbeaten ya ac Milan na arsenal halafu useme league zilikuwa vp, ac milan ina record ya unbeaten 58 matches
hiyo ni shauri yao, lakini Yanga iko kwenye database ya UN na kuna mafungu ya fedha ya UN yanakwenda Yanga, hivyo ni sawa na kusema Yanga ni mtoto wa UN iko kwenye mipango, kumbukumbu na bajeti zake sawa na Barcelona.lakini CAF hawaipost 😂😂😂
hata Brazil wana miaka mingi sana hawajachukua kombe la dunia lakini hiyo haimaanishi kuwa Brazil sio lolote wala chochote kwenye soka. Barcelona ni timu ya hovyo kwakuwa haifanyi vizuri kwenye soka siku hizi? Je, man u ni takataka? bro unbeaten 49 is something, haiji kwa bahatibahati tu.Ni upungufu wa maarifa kujisifu kuwa una rekodi bora ndani, wakati huo huo ukienda nje unapakatwa .
Mkuu tuliza mshono.. hakuna haja ya kupangiana furaha kama furaha ya timu yako ni mashindano ya kimataifa basi kapambaneni mje na kombe na wale ambao furaha yao ni mashindano ya ndani basi waache wafurahie izo rekodi zao. Hakuna haja ya kupangiana furaha.Elewesha hao zuzu wako, unbeaten huku huna lolote kwenye mashindano ya nje?
Uko nje wewe hujawahi kupakatwa au ulishawahi kurudi na kombe gani?Ni upungufu wa maarifa kujisifu kuwa una rekodi bora ndani, wakati huo huo ukienda nje unapakatwa .
mwambie huyu akawaambie wengine. Unicef haiwezi kujihusisha na Timu ambayo inawasha moto wa kichawi katikati ya dimba, inaamini kwenye uchawi (wapinga nyungu) badala ya sayansi (chanjo)Mkuu tuliza mshono.. hakuna haja ya kupangiana furaha kama furaha ya timu yako ni mashindano ya kimataifa basi kapambaneni mje na kombe na wale ambao furaha yao ni mashindano ya ndani basi waache wafurahie izo rekodi zao. Hakuna haja ya kupangiana furaha.
Wewe una nini? Akili zako zote umemuachia basha wako mudi mapikipikiElewesha hao zuzu wako, unbeaten huku huna lolote kwenye mashindano ya nje?
Kama una umia chomoa muhogo huo vaa nendaNi upungufu wa maarifa kujisifu kuwa una rekodi bora ndani, wakati huo huo ukienda nje unapakatwa .
Ni kweli wametuzidi kwa miamalaSimba inabidi tukubali wenzetu wametuzidi
Ligi yetu si premier ni amateur kwa pale england ni ligi ya mchangani
Toa huo mwiko huko nyuma kijana.Wewe una nini? Akili zako zote umemuachia basha wako mudi mapikipiki
Huo mwiko utakuwa umekatikia hapo nyuma , nenda hospitali watakushauri namna bora ya kuutoa bila kuleta madhara.Kama una umia chomoa muhogo huo vaa nenda
Hii inaitwa siasa ya Mpira. Unawapumbaza mashabiki kwa Jambo Moja ili kufunika madhaifu ya Jambo Fulani lililokwama!Huwezi kuwa na unbeaten 49 kama uko kwenye ligi yenye timu zenye uzito unaofananafanana. Naitabiria Yanga kufika mbali sana kwenye mashindano ya CAF.
Hakuna jambo lolote Yanga lililokwamishwa na akina Eng. Hersi na wenzake, Yanga haikuwahi kuleta kombe la caf hapa tangu 1935, lakini Yanga haikuwahi kupata unbeaten 49 tangu 1935, Wacha watu waserebuke TU kwa unbeaten hizi hayo mengine ni majaliwa ya Mungu na mipango ya siku zijazo.Hii inaitwa siasa ya Mpira. Unawapumbaza mashabiki kwa Jambo Moja ili kufunika madhaifu ya Jambo Fulani lililokwama!
Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app