Unbeaten Yanga to face Al Hilal of Sudan, Iwe isiwe lazima Yanga afie Sudan

Kaka utapigishwa deki pale jangwani Hadi akil ikukae sawa
 
Wameenda mbali, wangewapa vipers tu.
 
Hizi pimbi za makolo sijui zinavuta bangi za wapi, mpira unachezwa uwanjani na timu bora ndiyo itakayovuka hatua inayofata, habari za kukariri maisha zilishagapitwa na wakati inaonekana kipigo watachopata iyo timu yenu ya sudani mtaishia kujificha kusikojulikana na nyuzi mtazitelekeza humu, subilini safari hii mtaumizwa na yanga vya kutosha
 
Yanga wanawafunga hao Al Hilal mapema kabisa, ndani nje, Yanga ya leo ni moto hatari sana, hata aje nani Africa hii kwa sasa, Yanga anafunga tu
 
Hebu soma tena ulichoandika kama hautajicheka.
 
Pole sana. Hutaamini utakacho kishuhudia na huyo Ibenge wako.
 
Kwahiyo mnajiweka level moja na St.George?
Kumbukeni tulishawahi kuwachapa hao St. George! Lakini pia kama mbabe wao makolokolo sisi tunajipigia wao tunawashindwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…