Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
🤣🤣🤣 wewe ni simba kutoka mbuga gani?Mimi Simba ila Kwa Hio timu Yanga ataupiga mwingi sana na ndio nyota yao itabambia hapo, kazi tunayo sisi Simba Kwa huyu Agosto wa Angola
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 wewe ni simba kutoka mbuga gani?Mimi Simba ila Kwa Hio timu Yanga ataupiga mwingi sana na ndio nyota yao itabambia hapo, kazi tunayo sisi Simba Kwa huyu Agosto wa Angola
Kaka utapigishwa deki pale jangwani Hadi akil ikukae sawaKumekuwa na tambo nyingi kuwa yanga wamefikisha siku 10,000 hawajafungwa, kwamba wana timu ya kupambana na timu yoyote ile duniani, wao wanadai wana uwezo hasa, mfano mzuri ni juzi wametoa adhabu kali sana kwa wanubi wa Sudan kusini Zalan kwa aggregates ya mabao 9-0.
Sasa wameitoa Sudan Kusini wamepewa Sudan Kaskazini, waarabu wa Sudan kaskazini. Mama yangu.
Iwe isiwe, narudia iwe isiwe, narudia tena iwe isiwe, Yanga lazima afie Sudan akapambane kombe la Shirikisho huko.
Ibenge hajawahi kutolewa hatua za awali, Ibenge anajua udhaifu wa Bangala, anamjua Juma Shaaban, anamjua Mayele, atashindwaje kwenda group stage.
Yanga akivuka kwa Al Hilal naenda kupiga deki jangwani.
Wameenda mbali, wangewapa vipers tu.Hujui kuna kocha Nabi yanga? amin amin nakuambieni makolo timu ngumu africa mashariki kwa sasa Simba. kama simba kafungwa na yanga mara mbili Sudani ni nyanya tupu. Yanga mpinzaniwe yupo Misri na Moroco tuu basi lakini kuanzia Libya mpaka algeria yanga ni Msolopa!
Kwahiyo mnajiweka level moja na St.George?Hapo ndipo ujue hizi shabiki mbunye za makolo hazinaga akili! Mbona ilikuwa almanusura itolewe kamasi na St. George FC? Anafungika!
Utaliwa hela yako wewe,Mkuu .Iwe isiwe, narudia iwe isiwe
St George huwezi kuilinganisha na Utopolo. Ile ni standardHapo ndipo ujue hizi shabiki mbunye za makolo hazinaga akili! Mbona ilikuwa almanusura itolewe kamasi na St. George FC? Anafungika!
Hizi pimbi za makolo sijui zinavuta bangi za wapi, mpira unachezwa uwanjani na timu bora ndiyo itakayovuka hatua inayofata, habari za kukariri maisha zilishagapitwa na wakati inaonekana kipigo watachopata iyo timu yenu ya sudani mtaishia kujificha kusikojulikana na nyuzi mtazitelekeza humu, subilini safari hii mtaumizwa na yanga vya kutoshaKumekuwa na tambo nyingi kuwa yanga wamefikisha siku 10,000 hawajafungwa, kwamba wana timu ya kupambana na timu yoyote ile duniani, wao wanadai wana uwezo hasa, mfano mzuri ni juzi wametoa adhabu kali sana kwa wanubi wa Sudan kusini Zalan kwa aggregates ya mabao 9-0.
Sasa wameitoa Sudan Kusini wamepewa Sudan Kaskazini, waarabu wa Sudan kaskazini. Mama yangu.
Iwe isiwe, narudia iwe isiwe, narudia tena iwe isiwe, Yanga lazima afie Sudan akapambane kombe la Shirikisho huko.
Ibenge hajawahi kutolewa hatua za awali, Ibenge anajua udhaifu wa Bangala, anamjua Juma Shaaban, anamjua Mayele, atashindwaje kwenda group stage.
Yanga akivuka kwa Al Hilal naenda kupiga deki jangwani.
Yanga wanawafunga hao Al Hilal mapema kabisa, ndani nje, Yanga ya leo ni moto hatari sana, hata aje nani Africa hii kwa sasa, Yanga anafunga tuKumekuwa na tambo nyingi kuwa yanga wamefikisha siku 10,000 hawajafungwa, kwamba wana timu ya kupambana na timu yoyote ile duniani, wao wanadai wana uwezo hasa, mfano mzuri ni juzi wametoa adhabu kali sana kwa wanubi wa Sudan kusini Zalan kwa aggregates ya mabao 9-0.
Sasa wameitoa Sudan Kusini wamepewa Sudan Kaskazini, waarabu wa Sudan kaskazini. Mama yangu.
Iwe isiwe, narudia iwe isiwe, narudia tena iwe isiwe, Yanga lazima afie Sudan akapambane kombe la Shirikisho huko.
Ibenge hajawahi kutolewa hatua za awali, Ibenge anajua udhaifu wa Bangala, anamjua Juma Shaaban, anamjua Mayele, atashindwaje kwenda group stage.
Yanga akivuka kwa Al Hilal naenda kupiga deki jangwani.
Hebu soma tena ulichoandika kama hautajicheka.Hujui kuna kocha Nabi yanga? amin amin nakuambieni makolo timu ngumu africa mashariki kwa sasa Simba. kama simba kafungwa na yanga mara mbili Sudani ni nyanya tupu. Yanga mpinzaniwe yupo Misri na Moroco tuu basi lakini kuanzia Libya mpaka algeria yanga ni Msolopa!
Mtapoteana soonYanga wanawafunga hao Al Hilal mapema kabisa, ndani nje, Yanga ya leo ni moto hatari sana, hata aje nani Africa hii kwa sasa, Yanga anafunga tu
Pole sana. Hutaamini utakacho kishuhudia na huyo Ibenge wako.Kumekuwa na tambo nyingi kuwa yanga wamefikisha siku 10,000 hawajafungwa, kwamba wana timu ya kupambana na timu yoyote ile duniani, wao wanadai wana uwezo hasa, mfano mzuri ni juzi wametoa adhabu kali sana kwa wanubi wa Sudan kusini Zalan kwa aggregates ya mabao 9-0.
Sasa wameitoa Sudan Kusini wamepewa Sudan Kaskazini, waarabu wa Sudan kaskazini. Mama yangu.
Iwe isiwe, narudia iwe isiwe, narudia tena iwe isiwe, Yanga lazima afie Sudan akapambane kombe la Shirikisho huko.
Ibenge hajawahi kutolewa hatua za awali, Ibenge anajua udhaifu wa Bangala, anamjua Juma Shaaban, anamjua Mayele, atashindwaje kwenda group stage.
Yanga akivuka kwa Al Hilal naenda kupiga deki jangwani.
Endelea kusubiri.Mtapoteana soon
Kwani mbali sasaEndelea kusubiri.
Kumbukeni tulishawahi kuwachapa hao St. George! Lakini pia kama mbabe wao makolokolo sisi tunajipigia wao tunawashindwaje?Kwahiyo mnajiweka level moja na St.George?