Kama huna mpango nae unampa mimba ili iweje? Alafu huoni aibu kutamba kwamba mnakimbia. . . kweli WANAUME wanahesabika kwenye jamii yetu na wewe sio mmoja wao.
Wewe vipi? Mimi ni mtoto wa kike, na hii issue imetokea na uncle yuko kikaangoni. Ila uncle hadi jana alikuwa amepania kumfukuza mdada wa watu ili arudi kwao mikoani kwa wazazi wake ambao ni wakulima kama walivyo wazazi wetu tulio wengi. Inasikitisha sanaaaaaaa!