Swali ni kwamba...Wabongo bwana ni wabongo tu,esp wanawake hatupendani.
Zari ana akili sana,atalilia bedroom kwake akishaweka mambo sawa,siku zote mnaambiwa ikitokea mme katangulia na ana Mali kaacha,usikurupuke na yowe,Anza kutunza docs muhimu,card za bank na vingine muhimu fungia then ndio uanze kulia.
hapo amenifurahisha,ana watoto,watu ni wengi.lazima awachunge vizuri na awe strong.
hongera zari,lazima uwe makini na kuangalia Mali za watoto.
Mali siku zote ni ya watoto si ya ndugu.
wanyakyusa ndo wanachukua hadi vipaza sauti kupigilia yowe
hao watoto ni wadogo Sana,miili isikudanganye.
Ukweli mtupu lkn isiyojielewa unapiga yoweee unawap watu nafas ya kufanya yao hakikisha huku ukiwa unapiga yoweee umefungia vit vyote vya muhimu piga yoweee na funguo yako ikiwa umeikaza kwenye tenge ubinadam hakun siku hiz ohoooooooWabongo bwana ni wabongo tu,esp wanawake hatupendani.
Zari ana akili sana,atalilia bedroom kwake akishaweka mambo sawa,siku zote mnaambiwa ikitokea mme katangulia na ana Mali kaacha,usikurupuke na yowe,Anza kutunza docs muhimu,card za bank na vingine muhimu fungia then ndio uanze kulia.
hapo amenifurahisha,ana watoto,watu ni wengi.lazima awachunge vizuri na awe strong.
hongera zari,lazima uwe makini na kuangalia Mali za watoto.
Mali siku zote ni ya watoto si ya ndugu.
Looh hii coment imenifanya nichekeDaah kwa iyo mondi anakua baba wa watoto watano sasa! Awapeleke wasafi wakajifunze bongo flavour maisha yaendeleee
Haina haja ya kumsifia anamoyo wakati hana maumivu moyoni juu ya msiba wa Ivan. Mtu husifiwa anamoyo pale anapoumizwa na jambo lakini bado ana uwezo wa kuendelea na shughuli zingine bila kuathiriwa na jambo hilo linalomuumiza.Watu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.
mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?
Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu huwa niko emotional
Apumzike ivan.
huo ndo ukweli mme alokupa watoto?ni kitu kingine
Hakuwa mumewe tena... Huo uchungu angeupata zaid km mpk asa hivi angekuwa nae bado, ila asa hivi ana baby wa kumbembeleza kwahyo hakimuwazishi sana!!Watu wana moyo video zote sijaona zari akilia kwa uchungu Nijuavyo kumpoteza mme ni kitu kikubwa sana. Nilitegemea kuona akipiga ukunga na mda huu angekua hata sauti haitoki, wiki mzima mfiwa sauti haitoki kabisa dah ana moyo.
mfiwa anapataga nguvu wapi kushika maiki akaongea? Sauti mubashara?mmmh? Au kwa kuwa ana mme kipenzi?
Anyway ni mtizamo wangu msinihukumu huwa niko emotional
Apumzike ivan.
ni kweli kabisa angelia make up yake ingeishaHakuwa mumewe tena... Huo uchungu angeupata zaid km mpk asa hivi angekuwa nae bado, ila asa hivi ana baby wa kumbembeleza kwahyo hakimuwazishi sana!!
sana tuuuHivi winnie mandela aliliaga katika msiba wa Nelson mandela.?
nimsifie ninaumwa? Simpendi kama nnHaina haja ya kumsifia anamoyo wakati hana maumivu moyoni juu ya msiba wa Ivan. Mtu husifiwa anamoyo pale anapoumizwa na jambo lakini bado ana uwezo wa kuendelea na shughuli zingine bila kuathiriwa na jambo hilo linalomuumiza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee....wangoni kiboko acha tuUnataka alie kama wangoni?
wanyakyusa ndo wanachukua hadi vipaza sauti kupigilia yowe
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]account inasoma benk alie nini? angeachwa nyumba ya mkopo.gari ya mkopo watoto ada ya mkopo angebebeka kweli?
ila wanaume wetu acheni kukopa jamani kumbukeni kuna kesho
Hivi kulia kwa mayowe ndio kuonyesha kuumia???? Smhaiiiiii weka hapa hiyo video? Zote nimeziona anafutafuta tumachozi na kitamba aiiiiii
Yaani kwa kweli Hata mi nimemkubali...Zari kichwani yuko vizuri sana, hatawaangusha vijana wake
Hao ndugu wasubiri kwanza, huyo mjomba alipanic vibaya urohoo wa mali unamsumbua